Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
SawaKuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.
Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
Hakuna mtu ndani ya ccm ana uwezo wa kufanya chochote nje ya matakwa ya wenye ccm yao.Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.
Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
Hakuna pimbi wala kima yeyote wa ccm wa kukinukisha kwanza washakula hela za mama sagaj na mtoto wake gasho ashawapa urojo na ubuyu wa bab issa saa hii wapo chali mlalo wa kifo cha mende. Mama Tanganyika analawtw na wazenj tena anaendelea pigwa mtungo huku watoto wake wa kiume wakishangiliaKuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.
Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
Kwamba hakubaliki siyo habari.Hata hizo asilimia umempendelea.Hakubaliki zaidi ya hicho kiwango.Lakini kusema kuna wana CCM watakinukisha,sidhani.Hawana ubavu huoKuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.
Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
Hakuna wa kukinukisha ndani ya ccm! Atakayejaribu kufanya hivyo, atatekwa! Atapigwa! Atadhalilishwa! atafungwa l, Au hata kuuwawa! Na hakuna atakaye kamatwa.
Wanachama CCM wengi ni waoga kuliko makunguru! Wachache waliojitokeza ndiyo hawa walioishia kutekwa na kupigwa, au kufunguliwa kesi za uhaini.Hakuna lishindikanalo kama wote wakiamua..ataua 70% ya wanachama?
Ccm kwenye maslahi binafsi na ya chama chao wako radhi watuuze wote utumwani zanzibar mkuuWanachama CCM wengi ni waoga kuliko makunguru! Wachache waliojitokeza ndiyo hawa walioishia kutekwa na kupigwa, au kufunguliwa kesi za uhaini.
As long as wameua sana watanzania sasa bora wauane wenyewe ili waone uchungu wa dhulmaKuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.
Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.
Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
Hao waliuawa, mbona Polepole alishathibitishaKuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.
Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
Shida machawa ni wengi, hawana misimamo…akimaliza hii awamu yake yote atakua kapambana sana ila sion akitoboaWanachama CCM wengi ni waoga kuliko makunguru! Wachache waliojitokeza ndiyo hawa walioishia kutekwa na kupigwa, au kufunguliwa kesi za uhaini.