Soon italwenda kujulikana kama hayati Mkapa na hayati JPM walikufa natural death

Ajabu sasa mamaako mzazi na hawara yake wanamkubali. Na nasikia mamaako ameishakwambia umkubali au akutenge!
 
Toka kwa masisiemu hayahaya? Stori tu hizi zibaki vijiweni kulekule
 
Aisee
 
Kwa wasioamini uwepo wa Mungu (Atheists), kifo kinaweza kusababishwa na kitu chochote haphazardly!

Ila kwa sisi tunaoamini uwepo wa Mungu (Believers) maisha yetu yapo "Pre meditated" na Mungu kabla hatujazaliwa!

Sijui umenielewa?????
 
Watakinukisha kina nani??
Huo mpasuko huko ccm mnausema upo kila siku mbona hatuuoni??
Cha zaidi ni kuendelea kututesa sisi waTanganyika kila siku?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…