Nimeshawaambia kuwa weatern siyo watu wazuri wakitaka jambo lao lazima litimie. Putin alinifanya mjanja sasa anapumulia mashine. Ukrain wameweza kuingingia nchini mwake na wanateka watu na putin analia kama mtoto.
Usicheze na nchi zenye demokrasia
Nchi za kidictator zinakuwa na poles nyingi za kuingilia maana dictator huwa anacreate maadui wengi wa ndani ambao wanatoa siri.
Hakuna nchi ya kidictator ambayo ni going concern.