Soon Putin anakamatwa tu. Kama Ukraine wameweza kuingia Urusi na kuteka watu basi Putin atakuwa mikononi soon

Soon Putin anakamatwa tu. Kama Ukraine wameweza kuingia Urusi na kuteka watu basi Putin atakuwa mikononi soon

FB_IMG_17235458052803874.jpg
 
MaModereta na nyie sio kila uzi lazima muupokee. Member wa aina ya mleta mada mnapaswa uzi wake upelekwe kwenye jukwaa la joke na utani.
Hili jukwaa lina heshima zake.
 
Chatu amechokozwa, ameshainua kichwa ateme mate ya sumu, nani asubiri? Urusi kama chatu hatakubali kushindwa.
 
Back
Top Bottom