No nimesikiliza media ya chinaUkisikiliza media za Magharibi unaweza kusema kesho tu Putin anakamatwa au majeshi ya Russia yatasurrender
No nimesikiliza media ya china
Umeamka vibaya leoNimeshawaambia kuwa weatern siyo watu wazuri wakitaka jambo lao lazima litimie. Putin alinifanya mjanja sasa anapumulia mashine. Ukrain wameweza kuingingia nchini mwake na wanateka watu na putin analia kama mtoto.
Usicheze na nchi zenye demokrasia
Nchi za kidictator zinakuwa na poles nyingi za kuingilia maana dictator huwa anacreate maadui wengi wa ndani ambao wanatoa siri.
Hakuna nchi ya kidictator ambayo ni going concern.
Nyie kila cku tumechoka kuwapa elimu bakini na ujinga wenu ivo ivoNimeshawaambia kuwa weatern siyo watu wazuri wakitaka jambo lao lazima litimie. Putin alinifanya mjanja sasa anapumulia mashine. Ukrain wameweza kuingingia nchini mwake na wanateka watu na putin analia kama mtoto.
Usicheze na nchi zenye demokrasia
Nchi za kidictator zinakuwa na poles nyingi za kuingilia maana dictator huwa anacreate maadui wengi wa ndani ambao wanatoa siri.
Hakuna nchi ya kidictator ambayo ni going concern.
western walishawahi kumkamata nani mpk putin awe wa piliNimeshawaambia kuwa weatern siyo watu wazuri wakitaka jambo lao lazima litimie. Putin alinifanya mjanja sasa anapumulia mashine. Ukrain wameweza kuingingia nchini mwake na wanateka watu na putin analia kama mtoto.
Usicheze na nchi zenye demokrasia
Nchi za kidictator zinakuwa na poles nyingi za kuingilia maana dictator huwa anacreate maadui wengi wa ndani ambao wanatoa siri.
Hakuna nchi ya kidictator ambayo ni going concern.
sawa , usirud kusema tofautMtoa mada Urusi sio Zaire
ila pro Russia wengi wenu watupu kichwan kwamba Urusi hajawai ingia nchi yoyote ? Afghanstan , Georgia , Finland , Moldova niendelee ? hv unajuwa Urusi ndo miongon mwa mataifa bado yana makoloni mpk kesho au unasubit west waseme kisha uite propagandakwa akili yako unafikiri Ukraine anaweza kuingia Urusi bila greenlight ya USA and West? Thubutu yake. Hapo USA na West wanalazimisha tu WW3 basi kisha baadae waanze kusema Putin mchokozi. Hao west wanachokitafuta kwa Putin watakipata tu.
Huyo Russia amelazimika tu kuipiga Ukraine kwa sbb west wanamtishia usalama wake, ila hajawahi kuingia nchi yeyote na kuleta vita. lakini US na West countries ndio wavamiaji wa nchi za watu na kuleta vita..
Hii dunia ingekuwa salama sana bila USA na Western Europe.