Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 9,968 Reaction score 16,680 Aug 13, 2024 #22 RRONDO said: Nimeshangaa sana superpower anaingiliwa kwake kama Congo DRC! Ukraine military wameingia huko Kusk. Click to expand... Soon Putin atatishia kutumia silaha za nuclear kama kawaida yake.
RRONDO said: Nimeshangaa sana superpower anaingiliwa kwake kama Congo DRC! Ukraine military wameingia huko Kusk. Click to expand... Soon Putin atatishia kutumia silaha za nuclear kama kawaida yake.
Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 Aug 13, 2024 #23 MaModereta na nyie sio kila uzi lazima muupokee. Member wa aina ya mleta mada mnapaswa uzi wake upelekwe kwenye jukwaa la joke na utani. Hili jukwaa lina heshima zake.
MaModereta na nyie sio kila uzi lazima muupokee. Member wa aina ya mleta mada mnapaswa uzi wake upelekwe kwenye jukwaa la joke na utani. Hili jukwaa lina heshima zake.
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Aug 13, 2024 #24 Chatu amechokozwa, ameshainua kichwa ateme mate ya sumu, nani asubiri? Urusi kama chatu hatakubali kushindwa.
Chatu amechokozwa, ameshainua kichwa ateme mate ya sumu, nani asubiri? Urusi kama chatu hatakubali kushindwa.