Soon Simba SC wataaminishwa Mo kamkataa Niyonzima

Soon Simba SC wataaminishwa Mo kamkataa Niyonzima

sijawahi kusoma gazeti au kusikia chombo cha habari kuna kiongozi wa Simba amezungumza kuwa wamemsajili Ngoma na Niyonzima zaidi ya kusikia taarifa ya Mkwasa kuwa wameshindwana na Niyonzima na wanamtakia kila la heri huko aendako.Tafakari huu msemo wa kiingereza ili utupe mrejesho sisi mambumbu ..."Don't argue with a foolish otherwise you will become a foolish yourself".....
 
Asante sana mkuu, umeeleza vizuri.

Maana kuna watu hata ukiwaelewesha hawaelewi, nadhani kuna ka mhemuko fulani.
Wachezaji wote wanao sajiriwa na Simba sc, wanaonekana kwenye Simba Blog.
Zaidi ya hapo hakuna ukweli wowote.

Kama mtu anasikia habari za mtaani kuhusu usajiri ajue jabari hizo sio za kweli.
Pia huwezi kujua nani anayeongea kama huijui ID yake.

Kama mtu anamashaka na jambo aulize kwenye vyanzo vya habari vya Simba sc.
Zaidi kama mtu ana simu za android a download App ya Simba sc. Ina habari zote za usajiri wa timu.

Blog hiyo imeambatanisha hadi picha za wachezaji wote wa Simba sc, pamoja na wale waliosajiriwa kwa msimu ujao.

Zaidi ya hapo ni minong'ono ya mtaani tu.
 
Suub-hana-allahu! Kumbe Ismail Aden Rage ni mtu na akili zake...wallah mimi kusikia makelele yooote yale mpaka tukaanza kupangiwa kikosi cha msimu ujao na Niyonzima akiwemo nilijua ameshasaini! Wamerogwa na nani hawa?

Mkuu hata hatujarogwa, ni umbumbumbu wetu. Ona jamaa wanavyotumia klabu kutakatisha fedha. Watu wapo kazini hata hawajali matokeo?
 
Ndio kukosa kwenyewe muelekeo huko. Timu kwa miaka mitatu mfululizo ipo hapo hapo tu imeshikilia kombe haielekei nyuma unafikiri majirani wasemeje?

Yanga bhana...inakeeeeeeera watu wa sokoni!
Kati ya mwanafunzi anayeishia shahada za kwanza (Bachelor's)tatu lakini akashindwa kufaulu shahada ya pili (Masters) hata moja, na anayeshindwa hata hiyo ya kwanza mara tatu, nani amekosa mwelekeo? Nani ana wasifu (CV) bora zaidi?, nani ataangaliwa mwanzo kwenye ajira, masomo zaidi, n.k.?
 
Mo anafikaje hapa, yanga si ndio wenyewe walisema wameachana na Niyonzima??
 
Hivi ndivyo watakavyojifariji Kama walivyojifariji kwa yaliyotokea kwa Ndombo Ngoma Jana.. ...stay tuned
Una ushahidi kama simba walitaka kumsajili Ngoma?! Yaani hizi akili ndogo za magazeti ndio zinawanyima usingizi. Kipindi hiki huwa sinunui gazeti la michezo labda nione mchezaji anasaini. Zaidi ya hapo ntasoma vichwa vya habari, natembea!
 
Viongozi Simba ni janja yao tu kudanganya kusajili huku wanafIcha matatizo yanayopigiwa kelele na mashabiki pamoja na wanachama
 
Niyozima Atachezea Simba, mwenye kubisha tusibiri tarehe 2 jully 17 Majibu yatatoka kujifariki kwa kuumizwa na hili ruksa.
 
Niyozima Atachezea Simba, mwenye kubisha tusibiri tarehe 2 jully 17 Majibu yatatoka kujifariki kwa kuumizwa na hili ruksa.
Wewe unadhani Niyonzima kuchezea simba Ndiyo kutwaa ubingwa? Kwa viongozi wezi na watakatishaji fedha mlio nao hata mkimsajili mesi bado mtaishia kufungwa tu...pamoja na hilo bado Niyonzima hawezi kujiunga na simba hata mtembee uchi mchana kweupe
 
Viongozi Simba ni janja yao tu kudanganya kusajili huku wanafIcha matatizo yanayopigiwa kelele na mashabiki pamoja na wanachama
Tatizo mashabiki wao kila mwaka wanadanganyika wenzao wanapiga hela tu
 
Asante sana mkuu, umeeleza vizuri.
Maana kuna watu hata ukiwaelewesha hawaelewi, nadhani kuna ka mhemuko fulani.
Wachezaji wote wanao sajiriwa na Simba sc, wanaonekana kwenye Simba Blog.
Zaidi ya hapo hakuna ukweli wowote.
Kama mtu anasikia habari za mtaani kuhusu usajiri ajue jabari hizo sio za kweli.
Pia huwezi kujua nani anayeongea kama huijui ID yake.
Kama mtu anamashaka na jambo aulize kwenye vyanzo vya habari vya Simba sc.
Zaidi kama mtu ana simu za android a download App ya Simba sc. Ina habari zote za usajiri wa timu.
Blog hiyo imeambatanisha hadi picha za wachezaji wote wa Simba sc, pamoja na wale waliosajiriwa kwa msimu ujao
Zaidi ya hapo ni minong'ono ya mtaani tu.
Mrudisheni Musa Hasani Mgosi, jembe sana yule na anaifunga sana Yanga
 
Kati ya mwanafunzi anayeishia shahada za kwanza (Bachelor's)tatu lakini akashindwa kufaulu shahada ya pili (Masters) hata moja, na anayeshindwa hata hiyo ya kwanza mara tatu, nani amekosa mwelekeo? Nani ana wasifu (CV) bora zaidi?, nani ataangaliwa mwanzo kwenye ajira, masomo zaidi, n.k.?
Mtulizage basi akili kabla hamjajibu. Hebu soma tena kwa utulivu nilichoandika ndio utajua mimi ni wa upande upi.
 
Vipi kuhusu Ngoma ? Offer yenu ya 180ml imeishia wapi? Mmedanganywa mkadanganyika subiri uone Aisha Manula na Niyonzima kama utawaona msimbazi
Jipe moyo! Ngoma kiwango kimekata pumzi Niyonzima akija atakaa benchi tuu
 
Back
Top Bottom