Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

Kwa nini wasinunuliwe RAV 4??
Rav 4 ni luxury sana, haifai kuingia maneo korofi. Na zile za zamani kupata 0km si rahisi hazipo kwenye production. Kuna hizi hardtop nazo ni offroad na si ghali kama maV8.
 
Hao ni sawa na mbung'o wanyonya damu hata umueleweshe vipi hakuelewi kwa sababu wanajiona wao ni special na wana hadhi kubwa sana kuliko hata huyo muumba mwenyewe,hawajali matatizo ya watu wao wanachojali ni kumsifia aliyewapa ulaji na chama chao basi.
 
DC wa hiyo wilaya hajawahi kuwa na gari? Ndani ya miaka 5 iliyopita
Hao ni waongo haiwezekani DC akakosa gari sema kinachotokea ni mashauzi mtu akihamia wilaya mpya akakuta gari ya zamani yeye haitaki kwa kuona si ya hadhi yake ndipo anapoanza kuazima gari kwa DED tena hadi wanaingia kwenye ugomvi wakati katoka kwenye familia ya kimasikini kabisa hata baiskeli baba yake hakuwahi kumiliki lakini kwa kuwa wakati anasoma amejikombakomba CCM hadi kapewa cheo anaanza maigizo yake.
 
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu
Nchi ambayo inamtendaji katika ngazi ya kata,trafalgar,kijiji na hadi mtaa lakini DC anakuambia anataka kukagua miradi? Kwanini msiwajengee uwezo hao watendaji wangekua wasimamizi wazuri sana kwenye maeneo yao mana wanafanya kazi huko miradi ilipo sasa unakuta gharama zakukagua mradi misafara yake ni zaidi ya gharama za miradi yenyewe ndio mana tunakua na budget kubwa kwenye matumizi kuliko maendeleo hizo ndio sababu kuu na hatuwezi kufanikiwa kwa mwendo huu lazima tuitazame structure yetu ya uongozi ina Tija? Na kama haina tija hilo ndio eneo lakulifanyia kazi kuliboresha serikali itapunguza gharama nyingj nakuelekeza kwenye maendeleo
 
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia.
Nilijua anatemba kwa mguu, mwambieni apunguze kudeka.
 
Wakuu wa wilaya ni watu muhimu sana katika kumsaidia Rais wa nchi huko wilayani....


Katiba mpya iendelee kuwa na wakuu hao milele na milele!

#Idumu TZ
 
Sawa lakini halmashauri hiyo hiyo kumwazima gari DC haijakaa sawa.

Hizi ofisi za wakuu wa wilaya nje ya kuwa wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama wilayani hazina kitu kingine cha maana.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Usalama wetu wananchi na taifa ni jambo la mwanzo kabisa....

MaDC wetu wana dhima kubwa zaidi ya Watumishi wa kada zote huko wilayani....

#SiempreJMT
 
Sijawahi kuona umuhimu wa mkuu wa wilaya hiyo nafasi iondolewe
Mkuuu kuna na mbunge yupo chini yake,kuna na diwani yupo chini ya mbunge,Kuna na mwenyekiti yupo,kuna mtendaji yupo,kuna na barozi aka mjimbe wa nyumba kumi...
 
Back
Top Bottom