Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Kuanzia vyetyi vya form four feki hadi phd feki alafu tunategemea nchi ya viwanda wkt hawajui hata principle moja ya uchumi.....Wanachukia matajiri
Kuanzia sasa na kwa sababu wanabadili katiba tuwasaidie Kubadili na jina tuwaite chama cha mafafafa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kavideo katamujeeeeee
 
Kwan mama simba anatuhumiwa kitu Gan?
 
Big up kwa ccm,ila soon watapolewa kwa vifijo na nderemo huku kwetu Chadema,maana sisi ni mabingwa wa kupokea waliokatwa
 
Ndo maana mama alijihami mapema kuwa hatagombea tena, amfuate Wema atatoboa tu
Mhh. ...mulize masishanga mkuu yupo morogoro anakuja.vimbi.
Politics just devil trape ,you will try to trap off but ....it depends on group which you are
 
Walio Fukuzwa Uanachama wa CCM Kuanzia leo
1. Sophia Simba
2. Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga Jumlisha Wanec na Wenyeviti wakutosha. CCM MPYA INAKUJA

Huyu Madabida si juzi alikuwa Karimjee akimsapoti mwana mteule?? Wamemgeuka tena??
 
Hii itazidisha mpasuko mkubwa sana huko CCM, na hao wote wana watu wao wanaowatii huko CCM...

Sasa hapo kundi gani linaloogopwa zaidi na linalotafutwa sana na JPM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…