Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Ukiwa CCM inaonesha kila jambo unatakiwa ushangilie tu haijalishi bovu au zima
 
Naona ccm mpya ikiundwa, ccm isiopinga mawazo ya mwenyekiti, hawa walioondolewa ni awamu ya kwanza, tegemea makubwa zaidi.
 
Huyu mrembo naye kasalimika vipi mbona kulikuwa na mpango wa kumvua uanachama pia kisa ana mahusiano ya kimapenzi na mbunge wa upande wa pili...?
image.jpeg
 
Hahah chama kinachoongoza kwa demokrasia! Ila usilogwe ukapinga marekebsho ya katiba ya JU HA! Hivi nyie nyumbu wa lumumba mnajua manana ya dmokrasia kweli??????
 
Madabida????? Simba alishatonywa ndio maana akaachia ngazi.
✅Bashite vepeee?
 
Kwa NCHIMBI CCM ilikuwa ni lazima waufyate kulikuwa hakuna namna,mtu walitangulia kumpa ulaji kwanza wakati alikuwa ni mtuhumiwa halafu wanazuga kwa kumuonya.
Mkuu elewa kuwa hapo yalitokea mambo mawili. Kuna ambao walikerwa lowasa kukatwa lakini hawakuendeleza shari wakati wa kampeni. Na kuna wengine ambao wamechukizwa mpaka kwenye kampeni walimsaidia mtu wao ingawa alikua nje ya chama chao. hilo ni tatizo kwa siasa za chama chochote
 
Hakuna kinachobadilika, ni kiini macho tu. CCM imeshafikia maturity level katika siasa za nchi, it started with "party-state" (1961-64), ikashindwa, ikahamia kwenye "developmental state" (1965-1984), ikashindwa, ikahamia kwenye "contracting state" (1985-2015), ikashindwa, sasa chini ya Populist Magufuli inarudi back to "party state" era, na mbaya zaidi without any practical ideology. CCM kwa sasa ni genge tu waiting for the populist personality to do anything that helps the party make to the next day.

Hakuna kitu hapo.

Kama huyaelewi niliyojadili, Nina uzi nauandaa wenye lengo la kuelimisha wana JF jinsi gani CCM is running out tricks, and how Magufuli has defined its down fall.

Nitakukaribisha.
Pia ni vyema kwa nguvu hizo hizo ungewashauri Chadema ili waishinde kirahisi CCM hii iliyo kwenye "maturity level" ....tunaisaidia sana CCM ijirekebishe kuliko pia kukosoa siasa za upinzani ambazo hata CCM iwe dhaifu kwa level ipi ....HAWAWEZI kuwang'oa madarakani .....ndio maana wengine tunaoona upande mwingine wa CCM huko Chadema ....tuache propaganda tuambiane ukweli nchi ipone ....
 
Pia ni vyema kwa nguvu hizo hizo ungewashauri Chadema ili waishinde kirahisi CCM hii iliyo kwenye "maturity level" ....tunaisaidia sana CCM ijirekebishe kuliko pia kukosoa siasa za upinzani ambazo hata CCM iwe dhaifu kwa level ipi ....HAWAWEZI kuwang'oa madarakani .....ndio wengine tunaoona upande mwingine wa CCM huko Chadema ....tuache propaganda tuambiane ukweli nchi ipone ....
Ha hahah hahahahahahahah...
 
Hivi unamjua madabida na makandokando yake? kuna wanasiasa wengine hawafai kushirikiana nao
kwa upinzani uliokuwa desperate wasingejali kumchukua maana hyuo Madabida ni 'famfe' wa Lowasa.
 
Back
Top Bottom