Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Ukiwa CCM inaonesha kila jambo unatakiwa ushangilie tu haijalishi bovu au zima
 
Naona ccm mpya ikiundwa, ccm isiopinga mawazo ya mwenyekiti, hawa walioondolewa ni awamu ya kwanza, tegemea makubwa zaidi.
 
Huyu mrembo naye kasalimika vipi mbona kulikuwa na mpango wa kumvua uanachama pia kisa ana mahusiano ya kimapenzi na mbunge wa upande wa pili...?
 
Hahah chama kinachoongoza kwa demokrasia! Ila usilogwe ukapinga marekebsho ya katiba ya JU HA! Hivi nyie nyumbu wa lumumba mnajua manana ya dmokrasia kweli??????
 
Madabida????? Simba alishatonywa ndio maana akaachia ngazi.
✅Bashite vepeee?
 
Kwa NCHIMBI CCM ilikuwa ni lazima waufyate kulikuwa hakuna namna,mtu walitangulia kumpa ulaji kwanza wakati alikuwa ni mtuhumiwa halafu wanazuga kwa kumuonya.
Mkuu elewa kuwa hapo yalitokea mambo mawili. Kuna ambao walikerwa lowasa kukatwa lakini hawakuendeleza shari wakati wa kampeni. Na kuna wengine ambao wamechukizwa mpaka kwenye kampeni walimsaidia mtu wao ingawa alikua nje ya chama chao. hilo ni tatizo kwa siasa za chama chochote
 
Pia ni vyema kwa nguvu hizo hizo ungewashauri Chadema ili waishinde kirahisi CCM hii iliyo kwenye "maturity level" ....tunaisaidia sana CCM ijirekebishe kuliko pia kukosoa siasa za upinzani ambazo hata CCM iwe dhaifu kwa level ipi ....HAWAWEZI kuwang'oa madarakani .....ndio maana wengine tunaoona upande mwingine wa CCM huko Chadema ....tuache propaganda tuambiane ukweli nchi ipone ....
 
Ha hahah hahahahahahahah...
 
Hivi unamjua madabida na makandokando yake? kuna wanasiasa wengine hawafai kushirikiana nao
kwa upinzani uliokuwa desperate wasingejali kumchukua maana hyuo Madabida ni 'famfe' wa Lowasa.
 
CCM msisahau cheti cha BASHITE tunataka kumhakiki hata hukohuko SOUTH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…