Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Bora CCM wameamua kuvua unafiki ....wapinzani wanaibeza CCM inayojitengeneza ...watatutawala hadi labda wajukuu zetu wajielewe lakini si upinzani huu uliojaa ujanja ujanja ....
Sizonje alisema kanyoka kamekufa kana chezesha mkia......baadae akaomba poo.....chezea CDM weyeee... Ikikohoa kombati zanafagia barabara na kupanda miti.
 
Tuanze na Katiba Mpya, Katiba ya wananchi. Tumekuwa tukishauriana kujenga nchi kupitia hilo. Nje ya hapo ujenzi wa taifa ni porojo tu. Ni Bahati mbaya sana baadhi mmeingia kwenye hizo porojo baada ya Zitto na Slaa kusaliti harakati za Mabadiliko. Ni ushahidi kwamba mpo kutetea "personalities" as beneficiaries of the economic of affection, not "issues".
 
Hawajawatendea haki kwakuwa hapakuwa na mwana ccm ambaye hakuwa na kundi...Mbona Mrisho Gambo alikuwa team Membe na alimuhujumu Mussa Zungu live na tuhuma zake zimefunikwa ...??
Kwani umeambiwa hiyo adhabu ina uhusiano na timu Fulani?!! Acha kiherehere
 
Hiyo barabara waliotoa fedha ni AfDB chini ya uongozi wa JK... Tofauti iliyopo kati ya kanda pendwa na kanda isiyopendwa ni teuzi tu. Wa kanda pendwa hata awe na makandokando ya aina gani kama ilivyo kwa Daudi haguswi ila atoke wa kanda isiyopendwa aambiwe ameiba kijiko tu uone atakavyofurumushwa...

Amefukuzwa mmoja pale Umeme kwa sababu za kijiweni tu na kawekwa mpya kutoka kanda pendwa. Maskini sasahivi tuna ka mgao cha kimya kimya na tunakaa kimya tu..
 
Wakuu si vibaya tukifahamu wajumbe wa vikao vya ccm vilivyoweza kuwavua uanachama viongozi hawa , maana wanaweza kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu hapo baadaye .

Je Mh Kinana naye yumo ? Mangula je ? Salim Ahmed Salim naye ni mjumbe ? Mwandosya naye yumo ? Vipi kuhusu Marais wastaafu , nao ni wajumbe ? Warioba naye yumo ?

Ni vema " Mashujaa " hawa wakafahamika .

Naomba kuwasilisha .
 
Jmn chadema inawapa homa sana ee manake ukichukua kikamanda kimoja tuu cha chuo kikuu inabidi uandaee wenyeviti hamsini hv wa wilaya kupingana nae kihojaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12]
 
Nyie si mlimshambulia sana kwa madai ya muuza IRV fake! Machadema bana , Leo mnasema ni mtu makini ha ha ha ha!
 
Hili jalada aliliacha mwenyekiti mstaafu, na hapa mwenyekiti ametekeleza tu! Chukueni hiyo mizoga nyie mnaopenda kunyonga ije ijiite "kamanda" hahahaaaaaa
Unajihami?? Mwenyekiti wa UWT miaka mingi unamuita mzoga? Wewe Ndio mzigo namba moja
 
Hivi Sophia ana undugu na Iddi ? Iddi yule aliyekuwa nadhani waziri wa viwanda na biashara zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…