Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Mlipobadilishiwa katiba ya chadema na kumpa uenyekiti endelevu Mbowe kwenu ilikuwa raha na kawaida na hamkuhoji, iweje unakuja na day dreams!! Eti akisema aongezewe! Wakwenu aliyekwishajiongezea haumsemi! Ndio maana mnaitwa nyumbu!
Hapo hadi kichwa kinakuuma ila hauna namna.
 
Nikaribishe na mimi mkuu,asante.
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Bora CCM wameamua kuvua unafiki ....wapinzani wanaibeza CCM inayojitengeneza ...watatutawala hadi labda wajukuu zetu wajielewe lakini si upinzani huu uliojaa ujanja ujanja ....
 


Nimekuelewa mkuu ila nilipata jina la Joyce Msavatavangu kutoka katika mtandao wa Hakingowi na chanzokingine na wakimtaja huyo mama kwa jina la Joyce lakini kwa mara ingine tena vyanzo hivyo haviko sahihi.

Nimethibitisha pia jina hilo kutoka katika tovuti ya CCM Iringa hivyo hakuna matata.

Wewe si wa kijiweni wala sina shaka nawe kabisa.

Kwa kiingereza twasema, "no bad feelings".

CCM oyeeee!!
 
CHADEMA ni chama kinachojitabua na watu wanao jielewa na mchango wao tumeuona hata bungeni sio kulalia 'unafiki' kama kijani. Tuipe muda bado kuna mazuri mengi. Badi ni mfano wa kuigwa kwa kuonyesha upinzani thabiti.

 
Walipewa nafasi kujitetea kweli? Au ilikuwa ubabe ubabeni...anyways hichichama kinakoelekea Ni korongoni na Hamna kinana wala nape atayeweza kukikomboa tena. Huyo mwenezi mwenyewe Ni serikali tatu na anapingana na misimamo mingi tuu ya chama
 

Utaishia kutukana na tukisoma bandiko zako tunakuonea huruma, unavyojiamini kwa lugha chafu.
 
Vipi Sendeka...?! Hao walimpigania sana jamaa mpaka wakapigwa chini ubunge...

Unajua kila mtu anakuja na watu wake anaoamini atafanya nao kazi na zitaenda vizuri, ndio maana hata Kimei yupo na watu wake na mambo yanaenda shwari tu...

Kipindi kile huku hadi wale ccm wenzake wote waliungana aisee ilimgaragaza mbaya sana...

Hivi ni kweli ilisha nenwa rais hawezi toka kanda chukiwa...?! Au ni uzushi tu...?! Na kwanini inenwe hivyo...?! 2025 labda itarudi kusini ama pwani kama kawaida...

Kanda Pendwa wametoka marais wawili tayari, Pwani Wawili tayari, Kusini Mmoja...
 
Siku zake zinahesabika
Kuna kosa gani mbunge wa CCM kuikosoa serikali yake au kutoa maoni yake ambayo wakati mwingine yanaweza kupingana na baraza la mawaziri hasa endapo mawazo yake ni ya tija kwa taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…