Siasa ni matukio na kusahihisha, mawazo ya kimakonda zaidi. Sasa hakuna kuwana mawazo mbadala ccm uoga, kuwa na watu wenye mawazo mbadala wanatakiwa kuwepoMkuu issue ya Katiba mpya si issue ya Chama ....Chadema hawawezi kushinikiza na kushinda issue ya Katiba mpya bila kupata support kutoka CCM..... Ajenda ya katiba mpya ilibebwa na akina Warioba (wana CCM) na pia ilipingwa na watu ambao ndio wengine waliokuja kukimbilia Chadema na kupewa fursa ya kugombea Urais ....hivyo kwa Chadema ya sasa hiyo si ajenda tena (kama ilivyo ufisadi) ....Chadema inaishi kwa matukio na kwasasa haieleweki inasimamia nini (labda Bashite saga) ....na huwezi kusikia nyie manguli wa kuikosoa CCM mkitoa ushauri wa kisera huko Chadema hata wafanye makosa gani ....au chadema hawakosei? Au Chadema si muhimu kwavile hawana dola? ....