Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Dah..!! Yaani CCM wamekula hizo kete bila ya kutafakari? Naiona dhahiri super tunayopigwa hapa.
 
-NAWASHAURI WASIENDE CHAMA CHOCHOTE WATULIE TU,UONGOZI HUU UTAPITA TU,THEN WAJE KU-REJOIN CHINI YA UTAWALA MWINGINE..
Katika kipindi chote hicho cha kusubiri hadi Utawala huu uishe mana sio Uongozi nani atawathibitishia Uhakika wa Shibe ktk matumbo yao??
 
3. Chadema

2. Mkuu wao atawafata watakapofungua chama kipya

1. Kujiunga na Zitto alipo
 
Umemaliza Prof uchwala.
Umepewa wadhifa gani, au umesahaulika!!
 
Watafanya sherehe kujiunga na Chama pinzani
 
Waamue kupambana na dikteta uchwara ndani ya CCM kupinga kufukuzwa kwao ili kuhakikisha awamu yake inaishia 2020. Huyu mtu ni hatari sana kwa Taifa letu.

 
Sasa wamemuacha Amani Karume mbona ? Huyu yeye na Mwanawe Fatma ni ma Cuf, na walimsaliti Sheni mpaka akashindwa uchaguzi ikabidi tufanye faulo .
Naye huyu hastahili kuwamo ...tumfukuze tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…