Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo huandiki sana vipi umenusa habari mbaya nini ya yule mungu wa mji wa panyaroad?
Ebu pima hizi kauli zako, alafu ujue unafiki wako umeuficha wapi?Mimi sio mshabiki wa vyama lakini kwa hili naomba niseme CCM inapoelekea nitaenda kujiunga mwenyewe bila kulazimishwa!!...kama hawa watu walionekana 'taxi bubu' acha wapate walichokitafuta..
CCM keep it up n' CDM iwapo itawachukua hata mmoja kati yao ntaichukia rasmi!..Mtu mchafu hafai kama aliweza saliti alipolelewa then atashindwa nini kusaliti akija kwako!?..
Mzee wa MIHEMKO! !!!Waamue kupambana na dikteta uchwara ndani ya CCM kupinga kufukuzwa kwao ili kuhakikisha awamu yake inaishia 2020. Huyu mtu ni hatari sana kwa Taifa letu.
Watakuambia kwa sasa hutoelewa bashite ni nani ila yule jamaa yako anatimuliwa moja kwa mojaSorry sijakuelewa unamuongelea nani.
Umesahau kuwa na mwenyekiti wako wa chama ni zeroWakati Bashite bado anajiita mkuu wa mkoa na ziro yake anatumbuliwa aliyepingana na maamuzi ya chama ambacho hakituhusu wananchi tulio wengi.
Inashangaza sana.
Ulidhani hutojulikana Mkuu? Bahati mbaya umekutana na Wabobezi wa Udukuzi tulioshindikana.
Mzee wa MIHEMKO! !!!
hapa ndipo huwa tunasema watanzania wengi ni stupid,sasa unataka wapinzania wafanyaje??/magufuli amezuia mikutano ya kisiasa iliyo kisheria kabisa ambayo wapinzani huwa wanatumia kuwaelemisha watu juu ya mambo mbalimbali! hivi kwa hali hii inawezekanaje upinzani ukawa Imara.Ccm ina haki kumwondoa au kumkubali mwanachama kupitia vikao n.k. lakini tuzingatie sana watanzania wote bila upinzani changamoto itakufa. Hata ktk biashara unahitaji upinzani ili uboreke uwe na nidhamu pia. Kwa nchi yetu kwa sasa upinzani upo dhaifu sana unachangiwa na mambo mengi. Illa ni muhimu na ni jambo zuri kwa Ccm kwa na Taifa kwa ujumla wake kuwepo na upinzani wenye nguvu ili Taifa lisonge mbele kwakutambua ufisadi ubadhirifu n.k. na pia ujue kipimo cha utawala wako. Lakini kwa upinzani huu sio jambo zuri kabisa kwa mustakbali wa nchi hii kisiasa na kiuchumi. Bado tu wachanga ktk demokrasia tunahitaji kupiga hatua. Hata kama Ccm inatawala uwepo upinzani wenye nguvu kiuchumi na katika sifa za viongozi wao pia sio kwa hali hii ya sasa ya upinzani wapo dhaifu. Ni maoni yangu tu.
Hata kwenye gari oil safi ikichafuka hutolewa so chadema ndo sehemu ya kuweka oil chafu ambayo haihitajiki tenaKwa hiyo ccm ni kisima cha uchafu?
Wote wahamie chadema baadae chadema nayo inapokea wachafu woote ikija kuchuja nayo itapangua wachafu wote inabaki na wanachama waliokuja kwa mkumbo wale wachafuAhamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
Kumbe ndio ulikuwa mpango....! DuhKumbe nywele nyeupe alikuwa anampango wa kurudi nambari one na aliacha majeshi yake yamsafishie njia sasa yamegundulika na kuraruliwa.