Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Mkuu kwani chama gani kinachopokea makapi? Si ni chadema? Kwa hiyo jibu imeshapata
 
Leo huandiki sana vipi umenusa habari mbaya nini ya yule mungu wa mji wa panyaroad?

Hapana mie sio mtu wa siasa na sina chama, hivyo mengine napitaga tu. Nilipoandika hivyo kuna mtu akianzisha uzi na ulikuwa na maneno fulani ndani yake..now umeungwaungwa
 
Nchimbi alijidai kuwa reasonable wakati akijua mengi yanafanyika bila reasoning

 
Ebu pima hizi kauli zako, alafu ujue unafiki wako umeuficha wapi?
1. Huna ushabiki na vyama.
2. Utaelekea kujiunga CCM.
3. Iwapo CDM (sijui kwanini hujaifikiria ATC au CUF)itamchukua hata mmoja wao.
4. Utaichukia rasmi (sijui ni lini ulianza kuwa na mapenzi na CDM)

Hivi chadema ndio imependekeza muwafukuze?
 
Waamue kupambana na dikteta uchwara ndani ya CCM kupinga kufukuzwa kwao ili kuhakikisha awamu yake inaishia 2020. Huyu mtu ni hatari sana kwa Taifa letu.
Mzee wa MIHEMKO! !!!
 
Kuna chama kipya japo hakijapa usajir! Nadhan kinahitaji watu ili kipate kick!
 
Wakati Bashite bado anajiita mkuu wa mkoa na ziro yake anatumbuliwa aliyepingana na maamuzi ya chama ambacho hakituhusu wananchi tulio wengi.

Inashangaza sana.
Umesahau kuwa na mwenyekiti wako wa chama ni zero
 
Wewe ni taahira tu ambaye hujitambui umeamua kutumika na wahuni na mafisadi kuisaliti nchi yako na Watanzania wenzio. Ni hasara kubwa kwa Taifa kuwa na mataahira kama wewe.

Mzee wa MIHEMKO! !!!
 
hapa ndipo huwa tunasema watanzania wengi ni stupid,sasa unataka wapinzania wafanyaje??/magufuli amezuia mikutano ya kisiasa iliyo kisheria kabisa ambayo wapinzani huwa wanatumia kuwaelemisha watu juu ya mambo mbalimbali! hivi kwa hali hii inawezekanaje upinzani ukawa Imara.
bado wakitoa matamko kupitia TV au redio yanapigwa chini na mara zingine hayaonyeshwi kabisa.
Kabla hujanyosha kidole kwa wapinzani,angalia yanayofanywa na serikali kupitia CCM.

kama kuna vyama duniani vinakazi ni vyama vya upinzani vilivyopo afrika ni wakuonea huruma! vinafanya kazi kwa shida wanakandamizwa kwa kila kitu bado wananchi wenyewe wanao hangaikiwa akili zao sifuri yaani wana kazi kwa kweli
 
Ahamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
Wote wahamie chadema baadae chadema nayo inapokea wachafu woote ikija kuchuja nayo itapangua wachafu wote inabaki na wanachama waliokuja kwa mkumbo wale wachafu
 
Kumbe nywele nyeupe alikuwa anampango wa kurudi nambari one na aliacha majeshi yake yamsafishie njia sasa yamegundulika na kuraruliwa.
Kumbe ndio ulikuwa mpango....! Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…