Return2roots
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 874
- 438
Niliwahi kuwa ccm, kwa mujibu wa sheria, miaka hiyo...lkn ulivyoingia mfumo wa vyama vingi, mi nimebaki kuwa mfuasi wa ukweli....na si chadema, wala ccm, wala cuf.....Nyie si mlimshambulia sana kwa madai ya muuza IRV fake! Machadema bana , Leo mnasema ni mtu makini ha ha ha ha!
Una mbwembwe wee jamaa.Nashukuru naanza sasa kupata Warithi wangu a.k.a Team Gentamycine kwa kuigwa kila kitu changu. Safi sana!
Kila mwanzo ni mwisho was jambo....!!Madabida akithubutu kwenda CDM ajue kesi ya ARV's feki itapamba moto,TRA watamwangukia kama mwewe,na atanyang'anywa kiwanda cha madawa Arusha
Nipe kifungu cha sheria kinachokataza Mwanasiasa kufanya Mikutano sehemu tofauti na jimbo lake! kkwani umeambiwa mbowe akimiliki gazeti ni lazima habari ziandikwe kwenye gazeti la mbowe pekee?? habari ya gazeti inawafikia wayu wangapi ukilinganisha na TV au redio??we ndio bwege kweli jana Lema kafanya mkutano vizuri kwa Amani mbona hajazuiwa?Mbowe anamiliki gazeti anashindwa kupeleka matamko yake huko? CHADEMA mmeshindwa kufungua hata website ya chama
please be serious. Hayo mambo ya ngono peleka mahali pake, siyo hapa.Huyu mrembo naye kasalimika vipi mbona kulikuwa na mpango wa kumvua uanachama pia kisa ana mahusiano ya kimapenzi na mbunge wa upande wa pili...?View attachment 479739
Nyumbu na wewe leta kifungu kinachowaruhusu kuzurula na kuropoka matusi nzimaNipe kifungu cha sheria kinachokataza Mwanasiasa kufanya Mikutano sehemu tofauti na jimbo lake! kkwani umeambiwa mbowe akimiliki gazeti ni lazima habari ziandikwe kwenye gazeti la mbowe pekee?? habari ya gazeti inawafikia wayu wangapi ukilinganisha na TV au redio??
Chedema kutokuwa na website kuna uhusiano gani na mada inayojadiliwa
Jibu ulichoulizwa!,na kama kuna mtu ametukana sheria zipo wazi kwa pande zote!Nyumbu na wewe leta kifungu kinachowaruhusu kuzurula na kuropoka matusi nzima
bora useme weyeBora CCM wameamua kuvua unafiki ....wapinzani wanaibeza CCM inayojitengeneza ...watatutawala hadi labda wajukuu zetu wajielewe lakini si upinzani huu uliojaa ujanja ujanja ....
Mabadiliko ndani ya CCM ni lazima yatokee khasa baada ya miaka 40 tangu kuundwa kwake.
na balozi Nchimbi kukaa nje akiwa balozi ni adhabu tosha.
acha uongo Lema amefanya mkutano Arusha na habari zimefika nchi nzima.......TV na Redio nyingi ni za watu binafsi huwezi kuwapangia cha kutangaza.....kama watu binafsi wameweza kuanzisha Tv na Redio CHADEMA wameshindwaje kuanzisha wakati wanalipwa ruzuku..?Nipe kifungu cha sheria kinachokataza Mwanasiasa kufanya Mikutano sehemu tofauti na jimbo lake! kkwani umeambiwa mbowe akimiliki gazeti ni lazima habari ziandikwe kwenye gazeti la mbowe pekee?? habari ya gazeti inawafikia wayu wangapi ukilinganisha na TV au redio??
Chedema kutokuwa na website kuna uhusiano gani na mada inayojadiliwa
bora useme weyeBora CCM wameamua kuvua unafiki ....wapinzani wanaibeza CCM inayojitengeneza ...watatutawala hadi labda wajukuu zetu wajielewe lakini si upinzani huu uliojaa ujanja ujanja ....