Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Nyie si mlimshambulia sana kwa madai ya muuza IRV fake! Machadema bana , Leo mnasema ni mtu makini ha ha ha ha!
Niliwahi kuwa ccm, kwa mujibu wa sheria, miaka hiyo...lkn ulivyoingia mfumo wa vyama vingi, mi nimebaki kuwa mfuasi wa ukweli....na si chadema, wala ccm, wala cuf.....
 
Madabida akithubutu kwenda CDM ajue kesi ya ARV's feki itapamba moto,TRA watamwangukia kama mwewe,na atanyang'anywa kiwanda cha madawa Arusha
Kila mwanzo ni mwisho was jambo....!!
 
we ndio bwege kweli jana Lema kafanya mkutano vizuri kwa Amani mbona hajazuiwa?Mbowe anamiliki gazeti anashindwa kupeleka matamko yake huko? CHADEMA mmeshindwa kufungua hata website ya chama
Nipe kifungu cha sheria kinachokataza Mwanasiasa kufanya Mikutano sehemu tofauti na jimbo lake! kkwani umeambiwa mbowe akimiliki gazeti ni lazima habari ziandikwe kwenye gazeti la mbowe pekee?? habari ya gazeti inawafikia wayu wangapi ukilinganisha na TV au redio??
Chedema kutokuwa na website kuna uhusiano gani na mada inayojadiliwa
 
Nyumbu na wewe leta kifungu kinachowaruhusu kuzurula na kuropoka matusi nzima
 
Mabadiliko ndani ya CCM si mabadiliko kama yanavyoubiriwa na mwenye chama hicho!

Mkuu wa chama hicho amelazimika kufanya mabadiliko kufuta wajumbe kamati kuu kwa sababu ya visasi dhidi ya wengi wa wajumbe hawakuunga mkono Yeye kupitishwa kuwa mgombea kupitia CCM
Hii alikuwa nayo moyoni kwani licha ya wajumbe wale kumpinga lakini alifanikiwa kupita na sasa kwa mawazo yake bila kushauriwa ameoa hawana umuhimu na kazi yoyote chamani na kaamua kuwafutilia mbali

Hii inaonesha dhahiri mkulu bado anaishi kwa visasi na anachuki dhidi ya Lowasa na wale wote waliokuwa wakimsapoti na wamebaki chamani
 
Naona Magufuli amelewa madaraka hata kabla ya kumaliza mwaka, ameanza kukichafua chama kwa manufaa yake binafsi.
 
Bora CCM wameamua kuvua unafiki ....wapinzani wanaibeza CCM inayojitengeneza ...watatutawala hadi labda wajukuu zetu wajielewe lakini si upinzani huu uliojaa ujanja ujanja ....
bora useme weye
 
Mabadiliko ndani ya CCM ni lazima yatokee khasa baada ya miaka 40 tangu kuundwa kwake.

Hivi kumbe mabadiliko yanamaanisha kufukuza watu uanachama na kubadili katiba ili kuua demokrasia ndani ya chama?

Unafukuza wasaliti, huku ukilea mafisadi ndani ya chama!!

na balozi Nchimbi kukaa nje akiwa balozi ni adhabu tosha.

Hizi ndizo adhabu za serikali tukufu ya CCM? Yaani msaliti anapewa ubalozi kama adhabu yake!
Aisee ndugu yaani siku hizi umekuwa bure kabisa. Na ulisema uliwahi kukaa UK, basi kukaa kwako nje hakujakusaidia. Kwa hiyo nafasi za umma ndizo sehemu za kuwapa adhabu wale waliokosa CCM? Yaani yupo kwenye adhabu huk akiendelea kutumia pesa na mali za umma?

Yaani akili za wanaoshabikia CCM, haswa hawa washabiki wa huyu sadist dikteta uchwara, ni za kushangaza sana!
 
Nipe kifungu cha sheria kinachokataza Mwanasiasa kufanya Mikutano sehemu tofauti na jimbo lake! kkwani umeambiwa mbowe akimiliki gazeti ni lazima habari ziandikwe kwenye gazeti la mbowe pekee?? habari ya gazeti inawafikia wayu wangapi ukilinganisha na TV au redio??
Chedema kutokuwa na website kuna uhusiano gani na mada inayojadiliwa
acha uongo Lema amefanya mkutano Arusha na habari zimefika nchi nzima.......TV na Redio nyingi ni za watu binafsi huwezi kuwapangia cha kutangaza.....kama watu binafsi wameweza kuanzisha Tv na Redio CHADEMA wameshindwaje kuanzisha wakati wanalipwa ruzuku..?
 
kiukweli chadema wakishindwa kuchukua nchi 2020 basi hawatoweza tena.

hakuna kipindi kitakuwa kirahisi kama hiki.

magufuli kwa staili ya uongozi wake hata msipopiga kampeni, Whitehouse mnayo.

let us wait,
 
Kipindi wanamsapoti lowasa ilikuwa bado hawajapata mgombea mmoja hivyo halikuwa kosa kuonesha mahaba kwa lowasa. Tuache hayo uchaguzi umeshapita na maisha yameendelea sasa kiongozi mkubwa unaanzaje kuishi na kisasi kwa muda wote huu na wakati huo huo unahitaji maombi na baraka kutoka kwa mungu, nani alikwambia mungu ni wa visasi
 
SAWA unawezekana ukawa upo sahihi.. Ila lazima mtambue MTANDAO wa mafisadi wakubwa una link na Hawa wanaotumbuliwa Sasa IV.. Kwa hiyo mabadiliko haya ni muhimu Sana.. CCM ina uwezo wa kufanya mabadiliko yoyote na kuweza kuendana na nyakati iliyopo.. Chadema hata Kwa Msaada wa MUNGU haiwezi hata kuhoji namna mgombea wake anavyopatikana.. CCM mambo yote wanaweka wazi chadema vificho na siri.. Kifupi CCM ni chama cha taifa hata ukikataa
 
Bora CCM wameamua kuvua unafiki ....wapinzani wanaibeza CCM inayojitengeneza ...watatutawala hadi labda wajukuu zetu wajielewe lakini si upinzani huu uliojaa ujanja ujanja ....
bora useme weye
 
We muongo kabisaaaa!!! Kuwa hawakumuunga mkono ili apitishwe ni uongo mikubwa!! Kwanza mheshimiwa hakuwa na makundi ndani ya chama!! Unamsingizia kabisaaaa!!! Wengi wao ni team lowasaa na walimpa muda mgumu wakati wa kampeni mchana CCM usiku chadema!!
 
Back
Top Bottom