Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Kila kitu na muda wake ndio maana kuna scale of preference,Vipi CCM ina TV stations na radio ngapi???????/
 
watastafu siasa!

Nakubaliana na wewe, Sophia Simba amekwisha kuwa mzee sasa na Ramadhani Madabida hawezi kuingia upinzani kwani ana mazagazaga mengi ambayo CCM watayafumua na kisha kumfunga au kumfilisi!! Ana madeni aliyokopa na hajalipa ya kiwanda chake cha madawa Arusha; ana kesi ya kutengeneza ARV feki ambayo ilizikwa kwa sababu ya uccm wake !!! hayo yote ndio yatamfanya afyate mkia na kustaafu siasa kama alivyofanya mkewe!!
 
kiukweli chadema wakishindwa kuchukua nchi 2020 basi hawatoweza tena.

hakuna kipindi kitakuwa kirahisi kama hiki.

magufuli kwa staili ya uongozi wake hata msipopiga kampeni, Whitehouse mnayo.

let us wait,
Unajidanganya sana mkuu tena unaendelea kujidanganya kama 2015 ulivyokuwa unaota na mabadiliko ya kuzungusha mikono.
JPM kawashika PABAYA......
 
Well said, ...
 
Huyu Madabida si yule alikuwa kila mara kweny ziara za mkulu alikuwa front line na yeye kukagua?
 
Kila kitu na muda wake ndio maana kuna scale of preference,Vipi CCM ina TV stations na radio ngapi???????/
chama kina Zaidi ya miaka 20 unasema muda bado....CHADEMA hawana dira wala uelekeo wanasubiri matukio ndio wayadandie....madawa ya kulevya wameshayadandia mara vyeti vya makonda ndio ajenda yao kuu sasa hizi CHADEMA ni chama hopeless kabisa
 
Hata PM si aliimba ule wimbo tunaima na Lowassa......
 
Mmm, inaweza isiwe rahisi kiivo ila hata ccm itapita kwa sababu ya udhaif, udictator au ubabe wa katiba yetu.
 
Labda njia ya kuzimu!!! Mimi nawashauri chadema watafute mgombea mwingine !! Kwa aliyepo!! Mmmmmh!!!
 
kiukweli chadema wakishindwa kuchukua nchi 2020 basi hawatoweza tena.

hakuna kipindi kitakuwa kirahisi kama hiki.

magufuli kwa staili ya uongozi wake hata msipopiga kampeni, Whitehouse mnayo.

let us wait,
Headlights on the clear way
 
Unajidanganya sana mkuu tena unaendelea kujidanganya kama 2015 ulivyokuwa unaota na mabadiliko ya kuzungusha mikono.
JPM kawashika PABAYA......
Ccm imezikwa leo hapa dodoma wewe endelea kujikomba sisi ndio tunajua
 
Sawa we mwaga povu kumsifia na kumfagilia nkurunzinza utafikir upo UK ngoja hili jini mnalofuga liishiwe damu halafu iwe zamu yako kunyonywa ndo utaelewa maana wengine mnasubili popobawa ale msambwanda ndo utaelewa alichosema lissu kuwa white house imevamiwa na muumiani! Yaan wewe ndo boga kabisa unaona kabisa chama kinaliwa msembwende na popobawa we bado huamini sasa zamu yako haina muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…