kingbusara
Member
- Feb 22, 2017
- 48
- 23
Ni mawazo yako tu Kaka nchi haichukuliwi Kama unavyonunua Nyama buchani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu na muda wake ndio maana kuna scale of preference,Vipi CCM ina TV stations na radio ngapi???????/acha uongo Lema amefanya mkutano Arusha na habari zimefika nchi nzima.......TV na Redio nyingi ni za watu binafsi huwezi kuwapangia cha kutangaza.....kama watu binafsi wameweza kuanzisha Tv na Redio CHADEMA wameshindwaje kuanzisha wakati wanalipwa ruzuku..?
watastafu siasa!
Unajidanganya sana mkuu tena unaendelea kujidanganya kama 2015 ulivyokuwa unaota na mabadiliko ya kuzungusha mikono.kiukweli chadema wakishindwa kuchukua nchi 2020 basi hawatoweza tena.
hakuna kipindi kitakuwa kirahisi kama hiki.
magufuli kwa staili ya uongozi wake hata msipopiga kampeni, Whitehouse mnayo.
let us wait,
Well said, ...Sio CHADEMA wala Sio CCM, tena afadhali huku CCM kwa sasa wanafagia fagia hakuna anaeona vizuri hasa watu wa chini wapo tu tunakoenda ndio huko huko, utamshangaa mtu wa CHADEMA pove linamtoka utadhani kwake hakuna udikteta, tena huyo Tundu Lizu nani wa kupinga wazo lake, semeni ukweli? Na Mbowe nani wa kumkosoa kwa sasa? Si umeona waliojaribu yaliyowakuta, na najua hamna uchaguzi wa Mwenyekiti tena dah...
Siasa za Tanzania ni bora wale wasio na vyama lakini hawa mashabiki uchwara ambao hata katiba za vyama vyao hawazijui ni shida... wako kusubiri nani wa kumtukana na kuongea USHILAWADU badala ya kujadili hoja za msingi kwa maendeleo ya taifa hili..
CCM acha ifagie, wakimaliza tunasubiri kama CHADEMA na nyinyi mtafagia au hayo makombo waliotupa chini CCM ndio mtaokota kama kawaida yenu?
Maana hamtaki kujibidiisha na nyinyi mkae mezani mle chakula fresh sijaona hata program za kuelemisha vijana wenu kuhusu maono ya CHADEMA kila siku viongozi wenu kwenye makorido kulinda nafasi zao kwa kutafuta kashfa ya mahakamani au ya kuuchafua utawala, huku mkipata washabiki badala ya wanachama watakao kijenga chama.
chama kina Zaidi ya miaka 20 unasema muda bado....CHADEMA hawana dira wala uelekeo wanasubiri matukio ndio wayadandie....madawa ya kulevya wameshayadandia mara vyeti vya makonda ndio ajenda yao kuu sasa hizi CHADEMA ni chama hopeless kabisaKila kitu na muda wake ndio maana kuna scale of preference,Vipi CCM ina TV stations na radio ngapi???????/
nchi imepoteza dira Na mwelekeoNi mawazo yako tu Kaka nchi haichukuliwi Kama unavyonunua Nyama buchani.
Headlights on the clear waykiukweli chadema wakishindwa kuchukua nchi 2020 basi hawatoweza tena.
hakuna kipindi kitakuwa kirahisi kama hiki.
magufuli kwa staili ya uongozi wake hata msipopiga kampeni, Whitehouse mnayo.
let us wait,
Ccm ipo kibraNi mawazo yako tu Kaka nchi haichukuliwi Kama unavyonunua Nyama buchani.
Ccm imezikwa leo hapa dodoma wewe endelea kujikomba sisi ndio tunajuaUnajidanganya sana mkuu tena unaendelea kujidanganya kama 2015 ulivyokuwa unaota na mabadiliko ya kuzungusha mikono.
JPM kawashika PABAYA......
Huyo huyo Lowasa lazima awatoe kamasiLabda njia ya kuzimu!!! Mimi nawashauri chadema watafute mgombea mwingine !! Kwa aliyepo!! Mmmmmh!!!
Walikua wanamvuta mpaka wakati ufike ili wamtimue vizuriMadabida alitetewa sana na hao hao CCM kwenye unyama alioufanya wa kuuza ARV Feki