Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Kwani Zitto Cdm walimpokonya!!?

Lowassa mpaka leo hii mnajua kadi ya ccm alipo ihifadhi!?
Kwanini hajaichana au kuirudisha?

Kadi mali yake
 
Sophia Simba aliwahi kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora.. anajua mbinu nyingi za kuiba na kuchakachua kura
 
Kwani Wao ccm shida yao ilikuwa ni kumvua sophia simba uanachama wa chama.cha mapinduzi au kumvua uniform za chama cha mapinduzi?

Pili lengo nilikuwa ni kumyang'anya uhalali wa kadi yake ya uanachama au kumnyang'anya lile karatasi lenye Maneno ya kuwa mwanachama wa CCM.

Ukiweza tofautisha hayo mambo utapata jibu la duku duku lako.
 
Huyu MNEC kutoka Tunduru Ali Kalolo ambaye ameachishwa uongozi ni mtu wa ajabu. Kwanza anaishi porini kwenye mbuga ya Selou. Jina la mahali hapa ni Kajima. Ni mganga wa kienyeji mashuhuri sana. Hajui kusoma wala kuandika.
 

wapo wanachama wengi tu walipinga maamuzi ya kuondolewa zitto ila walihama nae wala msajili hakuzuia ruzuku ya chadema ili ampe zitto

mgogoro wa lipumba na cuf umetengenezwa na ccm na kusimamiwa na srkl kw masrah ya ccm kisiasa
 
Duh kumbe ndiyo hivyo? Mbona mwenyekiti wa CCM Mbeya hajafukuzwa?
angalia significance ya dar na mbeya.... mbeya majimbo 4 ipa dar majimbo kma 6 hivi na halmashauri kubwa kubwa zote ikiwemo na jiji la dar sasa impact yake ni kubwa sana kumbuka ilala na kinondoni ni moja ya halmashauri zinazoingiza pesa nyingi zaidi tanzania so kuangukia upinzani ni bonge la hasara kwa wapiga dili wa ccm lazma wakuwajibishe
 
hahahahhahaa....mkuu...kuna kitu kizuri sana inabidi ujifunze kuhusu hao CHADEMA...Bado hujui aiseee

Pole sana
Hamna shida kma waniona sijui lolote lakini mkuu freeland the path your taking ths days sikuelewi kabisa anyway ni maamuzi yako nayaheshim kinachonikera ni propaganda za kitoto yaani watu wasiwatetee walioonekana wameonewa kisa MBONA CHADEMA HAKUNA DEMOKRASIA!!!

Anyway back to topic..... ssa nkuulize unakubali kuwa KIPENGELE CHA UKOMO WA MWENYEKITI kilifutwa??? bora waseme katiba mpya ilichakchuliwa na mbowe ila sio kusema kilifutwa huo ni uongo maana kufutwa maana yake kipo afu kikatolewa ssa huu upotoshaji unarudiwa kila siku unakera.....

otherwise kila chama kina madhaifu yake ila yanarekebishika so sioni haja ya wwe kukimbia chadema kwa temporary problems baki uyasolve kma unaona kuna shida kukimbia sio suluhisho
 
salaam wakuu
jamii nani anataarifa kuhusiana na mhe hussein bashe na wanzake niliona mtu ameandika kwenye fb kwamba wamefukuzwa uanachama kilifanyika kikao cha dharura, kuna ukweli juu ya hili naomba taarifa tafadhali
 
........tafuta mchaga mwenzio umdanganye huu ujinga !
Hata leo wapo watu wanao dai Muungano hauna maana na hauna ridhaa ya wananchi ! zitto junior
 
........tafuta mchaga mwenzio umdanganye huu ujinga !
Hata leo wapo watu wanao dai Muungano hauna maana na hauna ridhaa ya wananchi ! zitto junior
mkuu mimi namjua zitto kuliko wwe na nmeshawahi ishi naye under one roof kwa miaka zaidi ya 4 ssa u either take it or leave it the choice is yours.
 
Kimbisa kapata msamaha, Nchimbi atakiwa kuomba radhi, Sophia Simba kufukuzwa. Ninachoona mimi kutokana na lugha hii Sophia Simba aliambiwa 'omba msamaha la sivyo out.' Mama yule akasema kuomba msamaha hapana, bado nasimamia palepale. Basi akaombwa kutokomea, nae akatokomea. Kimbisa akaomba msamaha akasamehewa. Bado yule Balozi.



 
kufungiwa kwa nchimbi ni mipango ya Manyanya kuhakikisha Nchimbi hagombei ubunge jimboni kwake, Kwani dr. ameshaonyesha nia ya kulitaka jimbo hilo tangu 2015.
 
Cheti cha halali au vyeti halali ndicho kipimo pekee cha msingi wa awali kuashiria na kutathmini uwepo wa kiwango fulani cha elimu na taaluma ya mtu mmoja dhidi ya mwingine. Pia ni msingi wa kwanza kutenda haki kwenye ajira. Vipimo vingine vyote kama vya ajira, experience na ufanisi wa mtu kwenye mazingira ya kazi vinafuata baada ya uwepo wa vyeti halali. Ukosefu wa hii ngazi ya awali unaweza sababisha ujenzi wa miondombinu mibovu, wagonjwa kutibiwa na madaktari feki, watendaji kudhalalishwa na kutukanwa bila sababu na wakubwa wao kazini, n.k, n.k. Ni aibu, fedheha na kujidhalalisha kwa msomi kama wewe kutotambua umuhimu wa vyeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…