Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Yale makengeza ya Mwenyekiti wenu yamekaaje !?Polepole ana sura imekomaa kama machawii ya Gamboshi...unafki na ufelefete umem-shupaza sura yake
Kama anapiga ramli chonganishi !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale makengeza ya Mwenyekiti wenu yamekaaje !?Polepole ana sura imekomaa kama machawii ya Gamboshi...unafki na ufelefete umem-shupaza sura yake
.............au kama chadema, unabadilisha Katiba ili uwe Mwenyekiti milele kisa na cha Babamkwe na anaye jaribu kugombea unampa kesi ya usaliti ....halafu wachaga wote wanaitikia ameeeen tChama kinaelekea kwenye umafia nyie mnapongeza, mwisho kitakuwa kama chama cha kina Putin kubadilishana uongozi watu wawili leo waziri mkuu kesho rais kesho kutwa anarudi kuwa waziri mkuu.
Lile sura baya na kukenua kenua kwa mwenyekiti wenu kama sanamu la michellinYale makengeza ya Mwenyekiti wenu yamekaaje !?
Kama anapiga ramli chonganishi !
[emoji87] [emoji87] aiseeSofia na Ramadhani wamefukuzwa,Emmanuel kapewa onyo
Punguza jazbaYale makengeza ya Mwenyekiti wenu yamekaaje !?
Kama anapiga ramli chonganishi !
Polepole nako kalipata zero AzaniaShombe shombe wa ukijana na Uzee
Sijui hizi ndio siasa za Kisasa... haya ngoja tuone! nadhani wazazi kuna mahali tumekosea, vijana hamjui lugha gani inatumika mahali gani, mkiadhibiwa na vyombo vya sheria mnailaumu serikali kwa utovu wenu wa nidhamu, liko tatizo. Sasa ukiwa mwanachama wa chama fulani lazima tutaamini hicho chama ndio tabia yake hiyo unayoionyesha hapa...kama wewe "huna" chama mbona povu linakutoka hivyo? kwani hao wanachama waliofukuzwa ni wa CHADEMA? unaacha kujadili hoja iliyopo mezani unabwabwaja tu kama teja aliyeshiba unga au umbwa jike mwenye nye.ge? acha hizo ndugu yangu.
Kufuatia maamuzi hayo, Sophia Simba amepoteza rasmi nafasi yake ya Ubunge wa Viti maalumu na Uenyekiti wa UWT kwani nafasi hizo zinahitaji mtu ambaye ni mwanachama wa chama aweze kuzishika. Hivyo, CCM italazimika kupeleka jina jingine Tume ya Uchaguzi kuteua mbunge wa kuziba nafasi ya Sophia, huku nafasi yake ya Uenyekiti UWT ikisubiri uchaguzi baadae mwaka huu.
Sio CHADEMA wala Sio CCM, tena afadhali huku CCM kwa sasa wanafagia fagia hakuna anaeona vizuri hasa watu wa chini wapo tu tunakoenda ndio huko huko, utamshangaa mtu wa CHADEMA pove linamtoka utadhani kwake hakuna udikteta, tena huyo Tundu Lizu nani wa kupinga wazo lake, semeni ukweli? Na Mbowe nani wa kumkosoa kwa sasa? Si umeona waliojaribu yaliyowakuta, na najua hamna uchaguzi wa Mwenyekiti tena dah...
Siasa za Tanzania ni bora wale wasio na vyama lakini hawa mashabiki uchwara ambao hata katiba za vyama vyao hawazijui ni shida... wako kusubiri nani wa kumtukana na kuongea USHILAWADU badala ya kujadili hoja za msingi kwa maendeleo ya taifa hili..
CCM acha ifagie, wakimaliza tunasubiri kama CHADEMA na nyinyi mtafagia au hayo makombo waliotupa chini CCM ndio mtaokota kama kawaida yenu?
Maana hamtaki kujibidiisha na nyinyi mkae mezani mle chakula fresh sijaona hata program za kuelemisha vijana wenu kuhusu maono ya CHADEMA kila siku viongozi wenu kwenye makorido kulinda nafasi zao kwa kutafuta kashfa ya mahakamani au ya kuuchafua utawala, huku mkipata washabiki badala ya wanachama watakao kijenga chama.
Kwani umeambiwa hiyo adhabu ina uhusiano na timu Fulani?!! Acha kiherehere
Huyo Membe alisimama lini na watu wake kumpigia kampeni Magufuli ....??? magufuli kupata kwake urais ni kutokana na watu wa Lowassa kumpa kura ....na wakaendelea kumpigia kampeni ..kwanini wasingeanza upya ...Tatizo waliendeleza makundi hata baada ya mgombea wa mwisho kupatikana, kifupi walikuwa wasaliti.
Eti makombo! Vipi Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Machali, n.k, hao mnawaitaje huko CCM au mnaona makombo CDM tu?Sio CHADEMA wala Sio CCM, tena afadhali huku CCM kwa sasa wanafagia fagia hakuna anaeona vizuri hasa watu wa chini wapo tu tunakoenda ndio huko huko, utamshangaa mtu wa CHADEMA pove linamtoka utadhani kwake hakuna udikteta, tena huyo Tundu Lizu nani wa kupinga wazo lake, semeni ukweli? Na Mbowe nani wa kumkosoa kwa sasa? Si umeona waliojaribu yaliyowakuta, na najua hamna uchaguzi wa Mwenyekiti tena dah...
Siasa za Tanzania ni bora wale wasio na vyama lakini hawa mashabiki uchwara ambao hata katiba za vyama vyao hawazijui ni shida... wako kusubiri nani wa kumtukana na kuongea USHILAWADU badala ya kujadili hoja za msingi kwa maendeleo ya taifa hili..
CCM acha ifagie, wakimaliza tunasubiri kama CHADEMA na nyinyi mtafagia au hayo makombo waliotupa chini CCM ndio mtaokota kama kawaida yenu?
Maana hamtaki kujibidiisha na nyinyi mkae mezani mle chakula fresh sijaona hata program za kuelemisha vijana wenu kuhusu maono ya CHADEMA kila siku viongozi wenu kwenye makorido kulinda nafasi zao kwa kutafuta kashfa ya mahakamani au ya kuuchafua utawala, huku mkipata washabiki badala ya wanachama watakao kijenga chama.
Mheshimiwa yesu hakuja duniani kuwakomboa watakatifu bali wenye dhambi vile vile upinzani haukuanzishwa ili kutetea wanyonyaji/maharamia/mazandiki... ila ulianzishwa kutetea wanyonge, wanaoonewa, wanaodhulumiwa haki yao na hawana pa kusemea.Ahamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
duh kwahyo sofia simba ni uchafu??? mbona miaka yote akiwa serikalini hukusema mpaka leo hii katimuliwa????? kwakuwa katimuliwa kwa kusimamia mabadiliko sioni tatizo akichukuliwa upinzaniAhamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
Sasa chadem mbona wakitimuaga watu kwa makosa ya usaliti kma kina shonza au mwampamba mlisema hakuna demokrasia?? na bado ccm mkawachukua ???? Mnataka upinzani ufanye nni hasa??? mnataka tumtimue nani wakati uchaguzi 2015 ulikuwa success kwa upinzani!! nyie mnajua mlianguka ndo maana mnatimuana bila ivo msingeendeleza chuki za team lowassa ad leoSio CHADEMA wala Sio CCM, tena afadhali huku CCM kwa sasa wanafagia fagia hakuna anaeona vizuri hasa watu wa chini wapo tu tunakoenda ndio huko huko, utamshangaa mtu wa CHADEMA pove linamtoka utadhani kwake hakuna udikteta, tena huyo Tundu Lizu nani wa kupinga wazo lake, semeni ukweli? Na Mbowe nani wa kumkosoa kwa sasa? Si umeona waliojaribu yaliyowakuta, na najua hamna uchaguzi wa Mwenyekiti tena dah...
Siasa za Tanzania ni bora wale wasio na vyama lakini hawa mashabiki uchwara ambao hata katiba za vyama vyao hawazijui ni shida... wako kusubiri nani wa kumtukana na kuongea USHILAWADU badala ya kujadili hoja za msingi kwa maendeleo ya taifa hili..
CCM acha ifagie, wakimaliza tunasubiri kama CHADEMA na nyinyi mtafagia au hayo makombo waliotupa chini CCM ndio mtaokota kama kawaida yenu?
Maana hamtaki kujibidiisha na nyinyi mkae mezani mle chakula fresh sijaona hata program za kuelemisha vijana wenu kuhusu maono ya CHADEMA kila siku viongozi wenu kwenye makorido kulinda nafasi zao kwa kutafuta kashfa ya mahakamani au ya kuuchafua utawala, huku mkipata washabiki badala ya wanachama watakao kijenga chama.
Naona nawasiliana na mtu asiyeelewa,hivi nimekwambia napinga wasije?.au kusoma hujui au una kichwa kigumu kuelewa? Mbona unakuwa mzito kuelewa namna hii? nimeshakwambia sipingi wao wasije CHADEMA,bali sipendi aina ya upokeaji,tunawashangilia sana,inabidi tuwapokee kama tu wanachama wengine na sio kushangilia ujio waoMkuu labda ungetoa ushauri wako unataka waende wapi badala ya chadema?