mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Lowasa.bhado anawaumiza kichwa ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, mtazamo wako sio kweli, hebu nitafutie chama kimoja tu hapa Tanzania ambacho kimeweza kubadili Mwenyekiti wake kupitia Mchakato wa katiba yake ya chama halafu ndio tuwafuate hawa ccm kwamba wanang'ang'ania madaraka.Chama kinaelekea kwenye umafia nyie mnapongeza, mwisho kitakuwa kama chama cha kina Putin kubadilishana uongozi watu wawili leo waziri mkuu kesho rais kesho kutwa anarudi kuwa waziri mkuu.
Nisome tena 'kinapoelekea' ni kwenye umafia means kipo kwenye process.Hapana, mtazamo wako sio kweli, hebu nitafutie chama kimoja tu hapa Tanzania ambacho kimeweza kubadili Mwenyekiti wake kupitia Mchakato wa katiba yake ya chama halafu ndio tuwafuate hawa ccm kwamba wanang'ang'ania madaraka.
Wakati tunakisoma hivyo tuamini kwamba hiki chama kwa mtazamo wangu kipo flexible kulingana na hali ya nchi kwa wakati husika. Mfano, wanainchi tulitamani sana tupate kiongozi mkali kwamba wakati huu ndiye atakayetufaa na ndivyo nadhan ccm walichotufanyia, ila tumesahau sasa tunalilia tulikotoka.Nisome tena 'kinapoelekea' ni kwenye umafia means kipo kwenye process.
Inawezekana hujawahi kuwa kiongozi ndani ya chama cha siasa au hujui siasa kwa mapana yake. Hebu tafuta kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa unachokijua chenye lengo kuu la kuchkua dolahalafu muulize hili swali, kama atatoa jibu tushirikishane hapa.Kuna watu ni mataahira sana, hivi mtu kumuunga mgombea mkono ndani ya chama kosa lipo wapi?
Teh teh teh teh teh tehHiki chama kinakoelekea ukibishana na mwenyekiti unanyongwa
Mwenyekiti wa chama gani? Maana Tanzania vyama vipo vingi, mim sina kadi ya chama cha siasa kwa sasa, ni mtazamo wangu tu katika nyanja hii ya siasa. Lakini pia nadhani mwenyekiti hawez kutoka nje ya katiba ya chama husika.mwenyekiti wenyu anafanya utumbo na nyie mmejipanga mitandaoni kuutetea [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo huko ccm kumuunga mkono kiongozi mwingine ndani ya chama ni kosa, demokrasia ipo wapi?Inawezekana hujawahi kuwa kiongozi ndani ya chama cha siasa au hujui siasa kwa mapana yake. Hebu tafuta kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa unachokijua chenye lengo kuu la kuchkua dolahalafu muulize hili swali, kama atatoa jibu tushirikishane hapa.
Mwanaume alikwisha ondoka, yeye alikuwa anasubiri nini kwa wapaka lipstiki !?Chama cha wachawi hicho kosa la sofia alisema ccm hakuna mwanaume kma edo so wengine wote wapaka lipstick
Chama cha wachawi hicho kosa la sofia alisema ccm hakuna mwanaume kma edo so wengine wote wapaka lipstick
Hili swali anaweza kutusaidia mh. Mbowe au waulizwe akina prof. Mkumbo na Mwigamba walipoamua kumuunga mkono Zitto ili awe top wa CDM kama ili kuwa kosa ama la.Kwahiyo huko ccm kumuunga mkono kili aongozi mwingine ndani ya chama ni kosa, demokrasia ipo wapi?