Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Chama kinaelekea kwenye umafia nyie mnapongeza, mwisho kitakuwa kama chama cha kina Putin kubadilishana uongozi watu wawili leo waziri mkuu kesho rais kesho kutwa anarudi kuwa waziri mkuu.
 
Chama kinaelekea kwenye umafia nyie mnapongeza, mwisho kitakuwa kama chama cha kina Putin kubadilishana uongozi watu wawili leo waziri mkuu kesho rais kesho kutwa anarudi kuwa waziri mkuu.
Hapana, mtazamo wako sio kweli, hebu nitafutie chama kimoja tu hapa Tanzania ambacho kimeweza kubadili Mwenyekiti wake kupitia Mchakato wa katiba yake ya chama halafu ndio tuwafuate hawa ccm kwamba wanang'ang'ania madaraka.
 
Polepole ana sura imekomaa kama machawii ya Gamboshi...unafki na ufelefete umem-shupaza sura yake
 
Hapana, mtazamo wako sio kweli, hebu nitafutie chama kimoja tu hapa Tanzania ambacho kimeweza kubadili Mwenyekiti wake kupitia Mchakato wa katiba yake ya chama halafu ndio tuwafuate hawa ccm kwamba wanang'ang'ania madaraka.
Nisome tena 'kinapoelekea' ni kwenye umafia means kipo kwenye process.
 
Kufukuza ni kitendo cha lazima katika maisha ili kuponya na kustawisha jumuiya.
Ukiukuza ndipo wengi wanajiunga kwa sababu kila mtu anatamani haki itendeke.
Makosa ya kimaadili na nidhamu yanapotokea au kutendwa, wanaoumizwa ni jumuiya sio aliyetenda na ndio maana ili kuponya nafsi zilizoumia ni muhimu hatua za kimaadili na nidhamu zifuatwe.

Na hili la kufukuza halikuanza ccm na halitaishia ccm: kwa sababu maadili na nidhamu ni kwa jumuiya zote za kibinadamu.
Vikundi vyote vina maadili yake.
Kwa mfano katika dini, shekh au mchungaji akitenda kosa la kimaadili uma utaumizwa na kuuponya lazima hatua zichukuliwe kwa mtu huyo. Kwa hiyo tunajua hatua kama hazichukuliwi wanajumuiya watasambaa na hawatakuwa na imani tena na jumuiya yao.
Ila hatua zikichukuliwa, wanajumuiya wanafurahia umoja wao na kuwavutia wengine.

Mapadri wanafukuzwa, Mashekh kadhalika.
Wanafunzi wanafukuzwa na walimu kadhalika
Wakuu wa mikoa wanafukuzwa na wa wilaya kadhalika
Mawaziri wanafukuzwa na hata marais wapo

Baba nyumbani anafukuza mtoto na ukoo unawatenga ndugu.
Kubwa zaidi hata habari za mbinguni muziki ni huohuo.
Malaika walifukuzwa tunasoma leo hii ni mashetani na tunao hapa tuniani.
Mungu akamuumba Adam na baadaye amkamfukuza kwenye bustani ya edeni!! Pamoja na kufukuzwa bado kila mtu anapigana kwenda mbinguni.

Kwahiyo kwa kitendo cha kamati ya maadili kuwaonya na kuwafukuza waliokutwa na makosa ya kimaadili na nidhamu ni kuponya nafsi zilizoumia kutokana na makosa hayo lakini pia kufanya watu wengine wengi kuvutiwa sana na ccm.

Niwakaribishe mjiunge ccm na kufurahia umoja wetu.
 
Kuna watu ni mataahira sana, hivi mtu kumuunga mgombea mkono ndani ya chama kosa lipo wapi?
 
Nisome tena 'kinapoelekea' ni kwenye umafia means kipo kwenye process.
Wakati tunakisoma hivyo tuamini kwamba hiki chama kwa mtazamo wangu kipo flexible kulingana na hali ya nchi kwa wakati husika. Mfano, wanainchi tulitamani sana tupate kiongozi mkali kwamba wakati huu ndiye atakayetufaa na ndivyo nadhan ccm walichotufanyia, ila tumesahau sasa tunalilia tulikotoka.
 
Kuna watu ni mataahira sana, hivi mtu kumuunga mgombea mkono ndani ya chama kosa lipo wapi?
Inawezekana hujawahi kuwa kiongozi ndani ya chama cha siasa au hujui siasa kwa mapana yake. Hebu tafuta kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa unachokijua chenye lengo kuu la kuchkua dolahalafu muulize hili swali, kama atatoa jibu tushirikishane hapa.
 
mwenyekiti wenyu anafanya utumbo na nyie mmejipanga mitandaoni kuutetea [emoji23][emoji23][emoji23]
 
mwenyekiti wenyu anafanya utumbo na nyie mmejipanga mitandaoni kuutetea [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyekiti wa chama gani? Maana Tanzania vyama vipo vingi, mim sina kadi ya chama cha siasa kwa sasa, ni mtazamo wangu tu katika nyanja hii ya siasa. Lakini pia nadhani mwenyekiti hawez kutoka nje ya katiba ya chama husika.
 
Inawezekana hujawahi kuwa kiongozi ndani ya chama cha siasa au hujui siasa kwa mapana yake. Hebu tafuta kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa unachokijua chenye lengo kuu la kuchkua dolahalafu muulize hili swali, kama atatoa jibu tushirikishane hapa.
Kwahiyo huko ccm kumuunga mkono kiongozi mwingine ndani ya chama ni kosa, demokrasia ipo wapi?
 
CCM ya Kikwete ilikuwa ya wengi wape.
CCM ya Magufuri wachache wape,lakini pammoja na hilo ndio CCM haitabiriki,tokea huko nyuma hadi leo.Wana ummoja wa kusherekea kutofautiana.
 
Chama cha wachawi hicho kosa la sofia alisema ccm hakuna mwanaume kma edo so wengine wote wapaka lipstick

Chama cha mafisadi na biashara ya madawa ya kulevya kina viongozi, wanachama na wafuasi wabwabwaji wa kutupwa, kama wewe. Wao ni kuongea kuhusu watu na matukio tu, kama hilo uliloandika. Hawachukui muda kutafakuri kabla ya kusema
 
Kwahiyo huko ccm kumuunga mkono kili aongozi mwingine ndani ya chama ni kosa, demokrasia ipo wapi?
Hili swali anaweza kutusaidia mh. Mbowe au waulizwe akina prof. Mkumbo na Mwigamba walipoamua kumuunga mkono Zitto ili awe top wa CDM kama ili kuwa kosa ama la.
 
Hongera ccm maana yake nini. Ndiyo kwamba mleta mada anafurahia uchinjaji wa democrasia? Unapofukuzwa kwa kuwa unampenda juma kuliko jeriko je ni haki? Jeriko na juma wote walikuwa ccm ila baadaye jeriko kahama chama.
 
Back
Top Bottom