Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Kuna wanachadema wanalalamika ha Malisa eti kwann atapita bila kupingwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbowe bana kweli amewaloga makamanda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hizi siasa zakufukuzana hizi mm inaashiria uvumilivu haupo kbs
 
Hahahahahahaha we acha tu... Ila bado twasoma upepo labda huko mbele mambo yatakuwa shwari.
Tokea juzi nimejikaza sana kukuuliza maana mabadiliko niyaonayo kwako sio bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pole broh,everything will be alright.
Fight [emoji123]

BTW kama wewe mtoto wa kishua unalia sisi ngumbaru can you imagine?
Hali ni mbaya sana.
 
Safi sana wasaliti wote out zidumu fikra za mwenyekiti
 
Safi tu wasafishe wasisafishe,siasa ni siasa kwa vyama vyote.
 
Sio kila jambo linaanikwa mpk uamuzi huo umefikiwa jpm hajakosea amechambua taarifa za vyombo vingi vinavyomzunguka katika mamlaka yake
kututoa gizani pia ni afya, japo tunaamini yote yanayofanyika yanasukumwa na nia njema ya mabadiliko.
 
Huyo Madabida anaonekana ni mtu wa hovyo sana. Nitashangaa sana kama atakimbilia Chadema na kama Chadema watamkaribisha. Yes, anaweza kuwa na "knowledge" nzuri kuhusu madudu ya CCM, "knowledge" ambayo inaweza kuwa mtaji kwa Chadema, lakini namdharau sana. Hata Sophia Simba namdharau sana. Ni watu embao fikra zao ziko tumboni, hivyo wanasaliti muda wowote na kutoa siri za ndani kwa audit.
 
wangefukuzwa wote au wengine walitubu?
Pia kwa utawala bora, wanachama wajulishwe sababu za kina za makosa yao ili isionekana kuwa na mawazo tofauti na wengi ndani ya chama ni makosa
Kuwa na mawazo tofauti sio kosa ila kukihujumu chama ni kosa.
Wewe uko CCM mchana usiku uko Chama kingine huko sio kutofautina mawazo hiyo ni Hujuma kwa Chama.
 
Hili ni mbinu ya kutisha watu ili waogope kutopitisha mabadiliko wanayoyataka.

Hakuna anayetishwa kwani kipindi hichi ni cha soko huria.......UKWAWA wanawaandalia sherehe nadhani itafanyikia Singida mashariki. Wala Ngada wote mnakaribishwa bila kukosa.
 
~~>>Katibu Muenezi wa CCM, Humphrey Pole pole yupo Mubashara ITV anatoa update ya "MAAMUZI YA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU"
 
Ni hatua nzuri japo imechelewa sana.......

Bila ya shaka watatimkia upinzani......na kuwa mashujaa
 
~~~>>CCM ilipokea taarifa ya maadili ya viongozi mbali mbali wa Chama.

Humphrey
 
Mabadiliko ndani ya CCM ni lazima yatokee khasa baada ya miaka 40 tangu kuundwa kwake.

Nafasi katika halmashauri kuu zimepunguzwa kutoka 388 hadi 158, wakati nafasi katika kamati kuu zimepunguzwa kutoka 34 hadi 24.

Mabadiliko kama haya au kwa kiingereza "reforms " ni muhimu khasa ukiwa na kiongozi anaejali kupunguza matumizi hata katika chama chake.

Pia mabadiliko kama haya kutakiwezesha chama cha CCM kutekeleza shughuli zake kwa ufanisi zaidi na kuondokana na wanachama wasohitajika lakini wanaolipwa fedha za mishahara bure.

Ila kumvua uanachama Sophia Simba ni uamuzi sahihi na balozi Nchimbi kukaa nje akiwa balozi ni adhabu tosha.

Kwa umri alokuwa nao mama Sophia Simba alipaswa kuchunga kauli zake na ile kauli yake aloitoa kwenye harakati za kuchuja wagombea uraisi mwaka 2015 ya kwamba, yeye ni mjumbe wa kamati kuu na hatakubali kuona mgombea mwenye sifa kama Edward Lowasa akikatwa jina kwasababu za kijinga na kwamba wote wanaomchafua Edward Lowasa ni wajinga na wapumbavu.

Hii ni sawa na mtu kutapika kabisa halafu baadae anakuja kula matapishi yake mwenyewe.
Kweli ww kada alafu elimu yako itakuwa na mashaka.
 
Kwasasa ccm inakoelekea nikule kwa kukubaliana na wazo la mwalimu
 
Back
Top Bottom