Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Duuu kumbe wna lumumba waga wako wengi eeee humu jf [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ccm wanafiki wakubwa, wanajifanya kufukuza , fukuzeni nchimbi, mnampa ulaji kisha mnampa onyo ,

Kitu kingine mwansiasa hafi, ukiona hivi ujue ukombozi unakuja, bila kufukuzana ccm , hatuta pata vyama mbadala, huu ndio mwanzo wa kuimarisha vyama mbadala maana kwa Mara ya kwanza watu ambao wamekua kwenye nyazifa kubwa wanakua wapinzani wa serikali wanayo itumikia.

fukuza kubwa zaidi inakuja, na hiyo itakua mass fukuza..
 
1d6bb09df98228f1e8166e9fcc51ab57.jpg

Nimeiona kwny JF twitter:

=========
UPDATES:

Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga

View attachment 479745
View attachment 479746
View attachment 479747
View attachment 479748
View attachment 479749

5,sio msukuma yulee Kazi imenza sas
 
Chadema watatoa tamko la kuwapokea waliofukuzwa...sasahivi watakuwa wameishaanza kuwapigia simu za kuwashawishi waje....haya na hao chukueni muongeze mtaji maana inaonekans mtaji wa Lowasa haukutosha
Unataka waende act?
 
Ukiwa CCM inaonesha kila jambo unatakiwa ushangilie tu haijalishi bovu au zima
Kwa chadema kila CD anayoweka dj mnacheza tu bila kuhoji wala kusimama, kawaletea Lowasa, mko kimya anapanga nani wapate ubunge kimya tu, akipingwa na mtu,mnasema msaliti, kwa wenzenu mnaona ajabu, Akili zenu hazina Akili.
 
Madabida siyule aliekuwa kwenye sinema ya makonda? hahaha hapo watu wanaonywa wasimpinge mwenyekiji 2020.Mwafaaaa
 
Hii sio democrasia, mbona republican karibu wote walimpinga Trump na hakuna hata mmoja aliyefukuzwa chama. Inaa maana wote walitakiwa kumuunga mkono mgombea hata kama walikua hawampendi?
 
Comrade...madabiba, hususan, ni muhanga wa siasa za "mchezo mchezo, na ujanja ujanja", lkn anajitambua sana nje ya siasa, ni msomi (miongoni mwa wahitimu waliokuwa wakivishwa shahada siku ya mahafali ya UD, miaka hiyo, na nyerere mwenyewe)....sasa hapa, ndio penati yake.....uelekeo!
......"ataenda upande wa pili wa mto, au atasonga mbele akibaki kuwa mpiga kura, mwenye kuyumba na "kweli ya nyakati", kama kina sisi"...
Bro madabida ni janga, huyu alitumia cheo chake kuuza ARV feki mnasifia hapa! hawa watu wengine kama mnawapenda mwende mkanywe nao chai.
 
Ha ha ha! Sikujua kama ccm imekuwa mdebwedo namna hii! Yaani jamaa katoka bara hata kiswahili chenyewe bado hakija kaa sawa, kwenye chama hata balozi wa mtaa hajawahi lakini Leo anakuja na vitisho na amri wote wanaufyata! Kweli ccm mdebwedo!

Kama wanamwogopa sio wamshawishi Lema au Lissu ajiunge na ccm na wampe ukatibu mkuu kama hajaachia ngazi mwenyewe!
Sio mdebwedo yule ni mtu mwenye mamlaka........kama hulijui hili nenda North Korea ....nchi inaongozwa na mtoto
 
ccm wanafiki wakubwa, wanajifanya kufukuza , fukuzeni nchimbi, mnampa ulaji kisha mnampa onyo ,

Kitu kingine mwansiasa hafi, ukiona hivi ujue ukombozi unakuja, bila kufukuzana ccm , hatuta pata vyama mbadala, huu ndio mwanzo wa kuimarisha vyama mbadala maana kwa Mara ya kwanza watu ambao wamekua kwenye nyazifa kubwa wanakua wapinzani wa serikali wanayo itumikia.

fukuza kubwa zaidi inakuja, na hiyo itakua mass fukuza..
Chukueni makapi hayo
 
Kwa chadema kila CD anayoweka dj mnacheza tu bila kuhoji wala kusimama, kawaletea Lowasa, mko kimya anapanga nani wapate ubunge kimya tu, akipingwa na mtu,mnasema msaliti, kwa wenzenu mnaona ajabu, Akili zenu hazina Akili.
Hapo CCM mtukufu mwenyekiti akisema niongezeeni muda wa kuwa mgombea wenu, wote mnasadiki na kuitikia ndiyo mtukufu.
 
wangepotezwa wote...ila kwani kum support Lowassa si ilikuwa imeshaisha? au walikuwa wana msupport chini kwa chini?
Tatizo kubwa ni kumsapoti mtu kwa kutaja jina. Hilo huwa kosa kubwa katika siasa hasa ikitokea uliyemsapoti akashindwa.
Kinachomwokoa msukuma kwenye kundi hili ni kitendo chake cha kugeuka mara moja pale uenguaji ulipofanyika. Sentensi yake ya "mimi mpya, mkoa mpya, na mgombea mpya" na ile ya "anajinyea". Imemwokoa.
Ni vema viongozi wakawa makini kutolalia upande wowote wakati wa michakato ya uchaguzi. Kwao chama kiwe kwanza.
 
Back
Top Bottom