a man of wisdom
Senior Member
- Feb 1, 2017
- 183
- 151
Duuu kumbe wna lumumba waga wako wengi eeee humu jf [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww lizaboni kunasiku hata ww utakatwa ,kwaaibu utakimbia hapa jfAcha ujinga wewe
unalia nini? huna cheti ?au unatumia cheti cha jirani ?
![]()
Nimeiona kwny JF twitter:
=========
UPDATES:
Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga
View attachment 479745
View attachment 479746
View attachment 479747
View attachment 479748
View attachment 479749
![]()
Nimeiona kwny JF twitter:
=========
UPDATES:
Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga
View attachment 479745
View attachment 479746
View attachment 479747
View attachment 479748
View attachment 479749
Unataka waende act?Chadema watatoa tamko la kuwapokea waliofukuzwa...sasahivi watakuwa wameishaanza kuwapigia simu za kuwashawishi waje....haya na hao chukueni muongeze mtaji maana inaonekans mtaji wa Lowasa haukutosha
Kwa chadema kila CD anayoweka dj mnacheza tu bila kuhoji wala kusimama, kawaletea Lowasa, mko kimya anapanga nani wapate ubunge kimya tu, akipingwa na mtu,mnasema msaliti, kwa wenzenu mnaona ajabu, Akili zenu hazina Akili.Ukiwa CCM inaonesha kila jambo unatakiwa ushangilie tu haijalishi bovu au zima
Video ilichunguzwa Kassim hakujua kilichokuwa kinaendelea akaja kushtuka baadaye. Hii pia ilimpata Mweshimiwa Rais kipindi hicho alivyokuja kushtuka baadaye kuwa kuna zengwe ndiyo akaacha kupiga makofi!Kassim Majaliwa pia alimuunga mkono Lowasa hadi ushahidi wa video upo ila wanaonea dagaa
Dampo la matejaChadema wakifukuza wssaliti ooh chama cha kufukuzana saa hizi eti wahamie shimo la uchafu! Pole
Bro madabida ni janga, huyu alitumia cheo chake kuuza ARV feki mnasifia hapa! hawa watu wengine kama mnawapenda mwende mkanywe nao chai.Comrade...madabiba, hususan, ni muhanga wa siasa za "mchezo mchezo, na ujanja ujanja", lkn anajitambua sana nje ya siasa, ni msomi (miongoni mwa wahitimu waliokuwa wakivishwa shahada siku ya mahafali ya UD, miaka hiyo, na nyerere mwenyewe)....sasa hapa, ndio penati yake.....uelekeo!
......"ataenda upande wa pili wa mto, au atasonga mbele akibaki kuwa mpiga kura, mwenye kuyumba na "kweli ya nyakati", kama kina sisi"...
Sio mdebwedo yule ni mtu mwenye mamlaka........kama hulijui hili nenda North Korea ....nchi inaongozwa na mtotoHa ha ha! Sikujua kama ccm imekuwa mdebwedo namna hii! Yaani jamaa katoka bara hata kiswahili chenyewe bado hakija kaa sawa, kwenye chama hata balozi wa mtaa hajawahi lakini Leo anakuja na vitisho na amri wote wanaufyata! Kweli ccm mdebwedo!
Kama wanamwogopa sio wamshawishi Lema au Lissu ajiunge na ccm na wampe ukatibu mkuu kama hajaachia ngazi mwenyewe!
IRV # ARVNyie si mlimshambulia sana kwa madai ya muuza IRV fake! Machadema bana , Leo mnasema ni mtu makini ha ha ha ha!
Chukueni makapi hayoccm wanafiki wakubwa, wanajifanya kufukuza , fukuzeni nchimbi, mnampa ulaji kisha mnampa onyo ,
Kitu kingine mwansiasa hafi, ukiona hivi ujue ukombozi unakuja, bila kufukuzana ccm , hatuta pata vyama mbadala, huu ndio mwanzo wa kuimarisha vyama mbadala maana kwa Mara ya kwanza watu ambao wamekua kwenye nyazifa kubwa wanakua wapinzani wa serikali wanayo itumikia.
fukuza kubwa zaidi inakuja, na hiyo itakua mass fukuza..
NdiyeHivi huyu madabiba ndio aliongea juzi kwenye mkutano wa bashite?
Hapo CCM mtukufu mwenyekiti akisema niongezeeni muda wa kuwa mgombea wenu, wote mnasadiki na kuitikia ndiyo mtukufu.Kwa chadema kila CD anayoweka dj mnacheza tu bila kuhoji wala kusimama, kawaletea Lowasa, mko kimya anapanga nani wapate ubunge kimya tu, akipingwa na mtu,mnasema msaliti, kwa wenzenu mnaona ajabu, Akili zenu hazina Akili.
Tatizo kubwa ni kumsapoti mtu kwa kutaja jina. Hilo huwa kosa kubwa katika siasa hasa ikitokea uliyemsapoti akashindwa.wangepotezwa wote...ila kwani kum support Lowassa si ilikuwa imeshaisha? au walikuwa wana msupport chini kwa chini?