Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Richard ngoja ngoja nikudadavulie kwa ufupi sana kuhusu huyo mama.Huyo wa Iringa anaitwa Joyce Msavatavangu na siyo Jesca Msambatavangu.
Ndiyo turudi kwenye mstari nchi isonge mbele...!Kwa mwendo huu unaweza hata kuvuliwa uraia.
Kitwanga alikuwa ni wa kanda pendwa lakini mbona alifurumushwa...?! Sema kwenye teuzi wa kanda pendwa ni wengi hata hapa Arusha nawaona, Wa kanda isiyo pendwa wengi walimtosa sana ila kuna wale waliokuwa nae mbona wanakula mema ya nchi, nadhani hata ungekuwa ni wewe ungeweka watu wako mliosimama pamoja...Hiyo barabara waliotoa fedha ni AfDB chini ya uongozi wa JK... Tofauti iliyopo kati ya kanda pendwa na kanda isiyopendwa ni teuzi tu. Wa kanda pendwa hata awe na makandokando ya aina gani kama ilivyo kwa Daudi haguswi ila atoke wa kanda isiyopendwa aambiwe ameiba kijiko tu uone atakavyofurumushwa...
Amefukuzwa mmoja pale Umeme kwa sababu za kijiweni tu na kawekwa mpya kutoka kanda pendwa. Maskini sasahivi tuna ka mgao cha kimya kimya na tunakaa kimya tu..
Mbona Majaliwa anaonekana hadi kwenye video akimuunga mkono Lowasa ila ameachwa?Tatizo kubwa ni kumsapoti mtu kwa kutaja jina. Hilo huwa kosa kubwa katika siasa hasa ikitokea uliyemsapoti akashindwa.
Kinachomwokoa msukuma kwenye kundi hili ni kitendo chake cha kugeuka mara moja pale uenguaji ulipofanyika. Sentensi yake ya "mimi mpya, mkoa mpya, na mgombea mpya" na ile ya "anajinyea". Imemwokoa.
Ni vema viongozi wakawa makini kutolalia upande wowote wakati wa michakato ya uchaguzi. Kwao chama kiwe kwanza.
Tuone kama uchafu wa vyeti utafugwa upande upiAhamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
Na hiyo ni mizoga haswa! BewareDuh....fisi lazima wajinyakulie kimzoga....
Kwani Majaliwa ndiyo kaibeba CCM? Angekutwa na hatia angefukuzwa pia, uwaziri mkuu angeteuliwa mtu mwingine.Umeona kale ka kikilipu ka video hapo juu? Mfukuzeni na Majaliwa, kwani alikuwa na imani na Lowasa! Vipi, yeye siyo msaliti?
Baba mwenye mji hagombezwi nyumbani kwake.Mbona Majaliwa anaonekana hadi kwenye video akimuunga mkono Lowasa ila ameachwa?
Mwanri si yeye bali Majaliwa ndiye aliforce awepo tu. Mwanri na Majaliwa wote walikuwa manaibu ofisi ya Waziri Mkuu na walikuwa marafiki wazuri tu..Kitwanga alikuwa ni wa kanda pendwa lakini mbona alifurumushwa...?! Sema kwenye teuzi wa kanda pendwa ni wengi hata hapa Arusha nawaona, Wa kanda isiyo pendwa wengi walimtosa sana ila kuna wale waliokuwa nae mbona wanakula mema ya nchi, nadhani hata ungekuwa ni wewe ungeweka watu wako mliosimama pamoja...
Huku mlimgaragaza mno, ila na wewe mpo nae pamoja utakula mema ya nchi kama kina Mwanri na Lyatonga...
Dhambi ya kuuza fake RVs ina mwandama na bado! Ehh Mola wangu!Madabida hivi si alikuwa na Bashite kila mahali
Kamanda...kuna kosa lilifanyika, lkn tusifanye kosa kumbebesha mtu mzigo usio wake...yeye si mkemia...ni mfanyibiashara...kanuni ya mfumo wa kutengeneza ARV, imekosewa, na zimeingizwa kwenye matumizi...wataalamu, wameshtukia, wametoa taarifa, zimeondolewa kwenye matumizi....!Bro madabida ni janga, huyu alitumia cheo chake kuuza ARV feki mnasifia hapa! hawa watu wengine kama mnawapenda mwende mkanywe nao chai.