Sorry Messi, una bahati mbaya mno..

Sorry Messi, una bahati mbaya mno..

Makondaaaaa! Kuna watu wana follow huku wahi mkuu wangu.
 
Mkuu ulibahatika kutizama final tu, ila mashindano yote yalikupita eeh!!
Mkuu usipoteza muda kubishana na MTU aliyelazimishwa na shemeji yake kwenda kuangalia mechi ya final tu.Mechi za mwanzo zote hakuangalia.
Hata kwa mechi ya jana Ronaldo alichangia mno ushindi wa Ureno.Impact yake ilikuwa kubwa hata alivyotoka bado aliipa sapoti kubwa mno
 
Mkuu ulibahatika kutizama final tu, ila mashindano yote yalikupita eeh!!
5eefe5cf99a0df6d6d122023158bd7d6.jpg

Akirudi muonyeshe hiyo picha sijui afanye nn
 
Ronaldo ana damu ya kupendwa
Tatizo Mess timu yake anayochezea imekaa kibaguzi sana katika soka lakini akafie mbele na assist zake
 
.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!

Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?

Hata Messi kwenye Copa America huwa anapiga magoli yakutosha,anamwaga assist kibao,tatizo sio "king" wa bahati km wenu!, anakaa nje kombe linamfuata mapajani!
Kwanza nikukosoe kuwa ureno haijashindia bahati maana mpaka inafika fainal haijapoteza mechi hata moja

Pili ubingwa sio mechi ya fainal bali kuanzia makundi na kuanzia makundi Ronaldo ana goal 3 na assist3 unahitaji nini zaid ya hapo? Acha ushabiki mandaz wote Ronaldo na Mesi ni wachezaji bora
 
Asante sana mkuu. Huyu ni zaidi ya mchezaji. Impact nje na ndani.
Jitihada kubwaa tu kaonyesha kwenye tournament nzima rejea droo ya 3-3 iliyowapeleka mtoano nusu final iliyowapeleka final hiyo hamasa ya jana

yani mashabiki wa Messi Wana maajabu wakati ureno wamechukua ubingwa hawataki Ronaldo apewe sifa eti ni individual ila andunje kupiga ya mwendo kasi wanataka ilaumiwe team nzima haimpi ushirikiano
 
mungu ni wa kila mtu jaman!!! Kama Ronaldo amebeba kombe la Euro basi hata Wema sepetu atazaaa
 
Jitihada kubwaa tu kaonyesha kwenye tournament nzima rejea droo ya 3-3 iliyowapeleka mtoano nusu final iliyowapeleka final hiyo hamasa ya jana

yani mashabiki wa Messi Wana maajabu wakati ureno wamechukua ubingwa hawataki Ronaldo apewe sifa eti ni individual ila andunje kupiga ya mwendo kasi wanataka ilaumiwe team nzima haimpi ushirikiano
Team Messi ni hopeless sana, Argentina ikishinda sifa anapewa Messi ila ikishindwa lawama ni ya timu.
Ureno kwa kiwango kikubwa imebebwa na Cr7 eti hawalioni hilo,ila nafurahi hawana pa kutokea na mkwepa kodi wao aka King of Failures.
 
Wanaudhi kwa kwel yani yule mkwepa kodi wao alipokua anafunga kule copa america sifa zote kwake alivyopiga ya mwendo kasi lawama kwa team ila failure za Portugal ni za Ronaldo ila mafanikio ya team
 
Wanaudhi kwa kwel yani yule mkwepa kodi wao alipokua anafunga kule copa america sifa zote kwake alivyopiga ya mwendo kasi lawama kwa team ila failure za Portugal ni za Ronaldo ila mafanikio ya team
Acha tu Mkuu.
Wakati Ronaldo anabeba kombe la Euro 2016 na kulipeka Ureno, Messi anambeba baba yake kumpeleka jela.
Teh teh
 
....Ronaldo angekuwa amecheza ingeleta maana zaidi,hilo kombe limemfuata mikononi tu!,ni pure bahati!
Amecheza pia mana alikuwa nje lakini alikuwa hakai anawaamasisha wenzake......
 
C7 is the best. Mungu amemfuta machozi C. Ronald, alilia sana na mungu akaona hujuma alizofanyiwa, France na Payot hawatasahau kilichotokea JANA.
Mungu uwa anafuta machozi kwa namna ya ajabu sana....pale unapolia kwa uchungu kumbe kuna furaha mbele yake.....hakika kila kwenye teso kuna ufufuko....
 
Back
Top Bottom