Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulibahatika kutizama final tu, ila mashindano yote yalikupita eeh!!....Ronaldo angekuwa amecheza ingeleta maana zaidi,hilo kombe limemfuata mikononi tu!,ni pure bahati!
Mkuu usipoteza muda kubishana na MTU aliyelazimishwa na shemeji yake kwenda kuangalia mechi ya final tu.Mechi za mwanzo zote hakuangalia.Mkuu ulibahatika kutizama final tu, ila mashindano yote yalikupita eeh!!
Mkuu ulibahatika kutizama final tu, ila mashindano yote yalikupita eeh!!
Asante sana mkuu. Huyu ni zaidi ya mchezaji. Impact nje na ndani.![]()
Akirudi muonyeshe hiyo picha sijui afanye nn
Kwanza nikukosoe kuwa ureno haijashindia bahati maana mpaka inafika fainal haijapoteza mechi hata moja.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!
Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?
Hata Messi kwenye Copa America huwa anapiga magoli yakutosha,anamwaga assist kibao,tatizo sio "king" wa bahati km wenu!, anakaa nje kombe linamfuata mapajani!
Jitihada kubwaa tu kaonyesha kwenye tournament nzima rejea droo ya 3-3 iliyowapeleka mtoano nusu final iliyowapeleka final hiyo hamasa ya janaAsante sana mkuu. Huyu ni zaidi ya mchezaji. Impact nje na ndani.
Nadhani swali sahihi ungemuuliza...kweli yeye ni shabiki wa mpira?Mkuu ulibahatika kutizama final tu, ila mashindano yote yalikupita eeh!!
Team Messi ni hopeless sana, Argentina ikishinda sifa anapewa Messi ila ikishindwa lawama ni ya timu.Jitihada kubwaa tu kaonyesha kwenye tournament nzima rejea droo ya 3-3 iliyowapeleka mtoano nusu final iliyowapeleka final hiyo hamasa ya jana
yani mashabiki wa Messi Wana maajabu wakati ureno wamechukua ubingwa hawataki Ronaldo apewe sifa eti ni individual ila andunje kupiga ya mwendo kasi wanataka ilaumiwe team nzima haimpi ushirikiano
Wanaudhi kwa kwel yani yule mkwepa kodi wao alipokua anafunga kule copa america sifa zote kwake alivyopiga ya mwendo kasi lawama kwa team ila failure za Portugal ni za Ronaldo ila mafanikio ya teamTeam Messi ni hopeless sana, Argentina ikishinda sifa anapewa Messi ila ikishindwa lawama ni ya timu.
Ureno kwa kiwango kikubwa imebebwa na Cr7 eti hawalioni hilo,ila nafurahi hawana pa kutokea na mkwepa kodi wao aka King of Failures.
Acha tu Mkuu.Wanaudhi kwa kwel yani yule mkwepa kodi wao alipokua anafunga kule copa america sifa zote kwake alivyopiga ya mwendo kasi lawama kwa team ila failure za Portugal ni za Ronaldo ila mafanikio ya team
KwikwikwiAcha tu Mkuu.
Wakati Ronaldo anabeba kombe la Euro 2016 na kulipeka Ureno, Messi anambeba baba yake kumpeleka jela.
Teh teh
Amecheza pia mana alikuwa nje lakini alikuwa hakai anawaamasisha wenzake..........Ronaldo angekuwa amecheza ingeleta maana zaidi,hilo kombe limemfuata mikononi tu!,ni pure bahati!
Mungu uwa anafuta machozi kwa namna ya ajabu sana....pale unapolia kwa uchungu kumbe kuna furaha mbele yake.....hakika kila kwenye teso kuna ufufuko....C7 is the best. Mungu amemfuta machozi C. Ronald, alilia sana na mungu akaona hujuma alizofanyiwa, France na Payot hawatasahau kilichotokea JANA.