Sorry Messi, una bahati mbaya mno..

Sorry Messi, una bahati mbaya mno..

C7 is the best. Mungu amemfuta machozi C. Ronald, alilia sana na mungu akaona hujuma alizofanyiwa, France na Payot hawatasahau kilichotokea JANA.
Alilia alipakumbuka AFRICA
 
.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!

Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?

Hata Messi kwenye Copa America huwa anapiga magoli yakutosha,anamwaga assist kibao,tatizo sio "king" wa bahati km wenu!, anakaa nje kombe linamfuata mapajani!
Alifunga mangapi fainali?mana alicheza dakika zote mesi
 
.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!

Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?

Hata Messi kwenye Copa America huwa anapiga magoli yakutosha,anamwaga assist kibao,tatizo sio "king" wa bahati km wenu!, anakaa nje kombe linamfuata mapajani!
robo fainali..nusu fainali.ronado hakucheza? Kama walikuwa hawashindi wamefikaje fainali? We ndio punguani kweli
 
Mabao ya mesi kwenye copa america yalikuwa na impact gan ukilinganisha na ronaldo?siku wanashinda goli 6 mesi anafunga mawili siku walishinda 5 mesi anafunga moja mtambo wa magoli wakati timu imedroo 3-3 ye ametupia 2 Ka asisit moja siku ya mbili mbili kaasist moya kafunga moya achana na huyo mtu ni injin hatar euro nzima hakuna mwenye assist 3 hata jin wa assist ozil kashindwa
 
efcf648dbd03db04c1993b2af741b042.jpg
akiwa makini kufuatilia euro2016
 
Ronaldo ana damu ya kupendwa
Tatizo Mess timu yake anayochezea imekaa kibaguzi sana katika soka lakini akafie mbele na assist zake

Shabiki vitutu huwa hamukosekani humu, ya ubaguzi imeingiaje tena humu? Ebu tweleze huo ubaguzi umekaaje, isije ikawa naongea na mwandishi asiyejua kusoma wala kuandika
 
Kama ukweli unavyobaki messi ni mchezaji bora wa dunia mara nyingi kuliko ronaldo
 
Ile hamasa aliyokuwa anatoa kwa wachezaji hawataki kuiongelea mashabiki wa mkwepa kodi hawana hamu
Kumshabikia shoga inabidi uwe na roho ngumu ila kwa nyie mabint hamuoni kazi
 
Ronaldo ana damu ya kupendwa
Tatizo Mess timu yake anayochezea imekaa kibaguzi sana katika soka lakini akafie mbele na assist zake
wewe nawe umetoka wapi nchi yake inaubaguzi kivipi? embu nieleweshe labda ntakua sijui
 
.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!

Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?

Hata Messi kwenye Copa America huwa anapiga magoli yakutosha,anamwaga assist kibao,tatizo sio "king" wa bahati km wenu!, anakaa nje kombe linamfuata mapajani!
U are wrong aisee... utaratibu ungekuwa wa zamani... kundi la portugal lisingekuwa kama vile... 24 teams sio sawa na 32 teams... different groups different results..... ndio maana sasa hv ukiweka mpambano kati ya portugal na iceland chance ya matokeo yale yale haipo.
 
Back
Top Bottom