sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
Kama mazuri vile ila acha nicheke tu......hahaaaaaa....Acha tu Mkuu.
Wakati Ronaldo anabeba kombe la Euro 2016 na kulipeka Ureno, Messi anambeba baba yake kumpeleka jela.
Teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mazuri vile ila acha nicheke tu......hahaaaaaa....Acha tu Mkuu.
Wakati Ronaldo anabeba kombe la Euro 2016 na kulipeka Ureno, Messi anambeba baba yake kumpeleka jela.
Teh teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu utani wa mwendokasiAcha tu Mkuu.
Wakati Ronaldo anabeba kombe la Euro 2016 na kulipeka Ureno, Messi anambeba baba yake kumpeleka jela.
Teh teh
Mungu uwa anafuta machozi kwa namna ya ajabu sana....pale unapolia kwa uchungu kumbe kuna furaha mbele yake.....hakika kila kwenye teso kuna ufufuko....
Alilia alipakumbuka AFRICAC7 is the best. Mungu amemfuta machozi C. Ronald, alilia sana na mungu akaona hujuma alizofanyiwa, France na Payot hawatasahau kilichotokea JANA.
Alifunga mangapi fainali?mana alicheza dakika zote mesi.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!
Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?
Hata Messi kwenye Copa America huwa anapiga magoli yakutosha,anamwaga assist kibao,tatizo sio "king" wa bahati km wenu!, anakaa nje kombe linamfuata mapajani!
msamehe bure huenda ni kipofuJiulize fainali wamefikaje? Kutwaa kombe sio finali tu ni kuanzia hatua za kufuzu mpaka final.BTW mbona Ronaldo alicheza.au hukumuona
JANA SIKUAMINI MWANAFUNZI ALIYESHIKA NAFASI YA MWISHO DARASANI KAWA BORA CHUO KIKUU
robo fainali..nusu fainali.ronado hakucheza? Kama walikuwa hawashindi wamefikaje fainali? We ndio punguani kweli.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!
Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?
Hata Messi kwenye Copa America huwa anapiga magoli yakutosha,anamwaga assist kibao,tatizo sio "king" wa bahati km wenu!, anakaa nje kombe linamfuata mapajani!
TCRA Ndg wapo kama fisi wanaosubiri mkono unaoning'inia.Unamsema waziri wa escrow na sasa niwaziri kwa mara nyingine japokua sakata la escrow alijiuzuru
Ronaldo ana damu ya kupendwa
Tatizo Mess timu yake anayochezea imekaa kibaguzi sana katika soka lakini akafie mbele na assist zake
Kumshabikia shoga inabidi uwe na roho ngumu ila kwa nyie mabint hamuoni kaziIle hamasa aliyokuwa anatoa kwa wachezaji hawataki kuiongelea mashabiki wa mkwepa kodi hawana hamu
wewe nawe umetoka wapi nchi yake inaubaguzi kivipi? embu nieleweshe labda ntakua sijuiRonaldo ana damu ya kupendwa
Tatizo Mess timu yake anayochezea imekaa kibaguzi sana katika soka lakini akafie mbele na assist zake
U are wrong aisee... utaratibu ungekuwa wa zamani... kundi la portugal lisingekuwa kama vile... 24 teams sio sawa na 32 teams... different groups different results..... ndio maana sasa hv ukiweka mpambano kati ya portugal na iceland chance ya matokeo yale yale haipo......gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!