Sory nimekufananisha

Sory nimekufananisha

makilo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
2,620
Reaction score
5,260
Upo sehemu unatembea kwa
miguu,
kati kati ya safari yako ukiwa huna
hili
wala lile unashtuliwa na Kofi moja
zito
la Uso mpaka unafumba macho,
ile
hujakaa sawa inakuja Ngumi ya
pua..
unajaribu kukimbia unapigwa
mtama kimo cha mbuzi, Halafu
unasikia sauti
ikisema"NILIKWAMBIA IPO SIKU
NITAKUKAMATA TU" Ile unainua
sura
unakutana na mtu usiemjua
kabisaaa.
halafu na yeye baada ya kukuona
vizuri
anasema "SAMAHANI
NIMEKUFANANISHA....! kama
wewe
utafanya nini?
 
Nami migumi kisha namwambia acha kuvaa miwani ona sasa unatumbukia shimoni
 
Ktk mapigo yote pigo nalojua zaidi ni kung'ata! bila shaka atarudi kwake na ming'ato ikilia ziiiiiii......
 
Namlipishia kumtwanga mapigo ya maana kisha namwambia "Sory aisee kumbe wote tulifananishana"
 
Back
Top Bottom