Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishawahi kunikuta Mimi kabisa "aiseee niliumia sana Nilizabwa kibao cha Maana na Mama mmoja hivi _ baadae Akaniambia samahani nimekufananisha na mtoto wangu "et nguo zimefanana " ilikiwa mida ya alasiri Niko na masela [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Hahahahaha!!Fidia si chini ya mil nne aiseeeeHapo ni police then mahakani. Ashitakiwe kwa kushambulia na kudhuru bila kukusudia. Fidia lazima hapo
Ha ha namwambia sasa Mkuu simama ni zamu yangu kulipiza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Upo sehemu unatembea kwa
miguu,
kati kati ya safari yako ukiwa huna
hili
wala lile unashtuliwa na Kofi moja
zito
la Uso mpaka unafumba macho,
ile
hujakaa sawa inakuja Ngumi ya
pua..
unajaribu kukimbia unapigwa
mtama kimo cha mbuzi, Halafu
unasikia sauti
ikisema"NILIKWAMBIA IPO SIKU
NITAKUKAMATA TU" Ile unainua
sura
unakutana na mtu usiemjua
kabisaaa.
halafu na yeye baada ya kukuona
vizuri
anasema "SAMAHANI
NIMEKUFANANISHA....! kama
wewe
utafanya nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mwendo wa makofi tu hakuna namnaAaah Mkuu itakuwa sio poa maana ni bahati mbaya.
mmeirudia hiiUpo sehemu unatembea kwa
miguu,
kati kati ya safari yako ukiwa huna
hili
wala lile unashtuliwa na Kofi moja
zito
la Uso mpaka unafumba macho,
ile
hujakaa sawa inakuja Ngumi ya
pua..
unajaribu kukimbia unapigwa
mtama kimo cha mbuzi, Halafu
unasikia sauti
ikisema"NILIKWAMBIA IPO SIKU
NITAKUKAMATA TU" Ile unainua
sura
unakutana na mtu usiemjua
kabisaaa.
halafu na yeye baada ya kukuona
vizuri
anasema "SAMAHANI
NIMEKUFANANISHA....! kama
wewe
utafanya nini?
Kwa Bahati mbaya unakuta ni baunsa.