Sory nimekufananisha

Nilishawahi kunikuta Mimi kabisa "aiseee niliumia sana Nilizabwa kibao cha Maana na Mama mmoja hivi _ baadae Akaniambia samahani nimekufananisha na mtoto wangu "et nguo zimefanana " ilikiwa mida ya alasiri Niko na masela [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Anapomaliza kusema samahan nshampa bonge la kelbu hapo na bonge la mtama halaf nasema msamaha wako umekubaliwa
 
Ukimwangalia kifua utadhani anakula zege, utafanyaje?? Nadhani namchekea niende zangu home nikajikande.
 


Enhee, ulifanyaje? Nakuona ukijisunya halaf ukaondoka na hasira zako tu
 
Hapo ni police then mahakani. Ashitakiwe kwa kushambulia na kudhuru bila kukusudia. Fidia lazima hapo
 
Aiseeee!!!Nitampiga vimbaya sana

Nikimaliza kumupiga namwambia nimekufananisha
 
Ha ha namwambia sasa Mkuu simama ni zamu yangu kulipiza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
looo tungegawana majengo ya serikali;
mi hospitali yeye polisi;
 
mmeirudia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…