Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Karibu sana Mrembo by NatureHaya nimeenda kwa amani na wewe ubaki salama, ukinichokonoa tu na mimi nakichokonoa tena kwa kalamu manoah
Karibu sana Mrembo by Nature
Hope ile nafasi tuliyokuwa tunaingoja ndio hii sasa...karibu uenjoy mahaba katika mwanga bora!
Sasa kosa langu ni lipi manoah ?
Mwanaume wa kweli unajijua wewe ila Mrembo by Nature anakuona ni mwanaume fake na huna lolote ndio maana anakuja kwangu mwanaume wa kweli.
ngoja nichekee pembeni kwanza nitarudi.
Sasa kosa langu ni lipi manoah ?
Mwanaume wa kweli unajijua wewe ila Mrembo by Nature anakuona ni mwanaume fake na huna lolote ndio maana anakuja kwangu mwanaume wa kweli.
Toa hayo makaburi gundu litaondokahuu mwaka sio wangu... mbona majanga yameniandama?
Sasa usharobaro na mapenzi vinahusiana nini?heeeehhhhh we kwanza sharobaro
Toa hayo makaburi gundu litaondoka
sosoliso , Baba V , mtuache na familia yetu mbona mnatuzonga zonga sanaaaa....
Popote nitapo kutana na nyie cha moto mtakiona...
amu amu amu nakutazama tu... wewe unafurahi mie kuachwa>? mie hadi nachanganyikiwa, wewe unanufaika na nini.... au unamkuadia eeeh!
Paloma Paloma utuache na familia yetuuu na vitisho vyako kwangu.... nita..........
Erickb52 broda broda na wewe unanitibulia kwa Mrembo by Nature kisa sipo?
mimisa unajua nakupenda ndio maana unazidi kunivuruga eeeh? usititende ivyo, naomba uniue taratibu taratibu basi baby dah!
Mrembo by Nature mie mwanaume wa kweli usihofu hayo mambo ya kudaiana ni ya kishamba baby... nenda kwa amani ya manoah maisha ya mwaka huu yamenikataaaaa
Mamndenyi nawe unanisariti? The secretary wewe ndio mama wangu wa ukweeee.. leo narudi home
Bishanga my daddy.... Ile Range Lover Evoque ipo? au umeiuza
Tatizo dogo hakubali kushindwa....hajui hata bahari kuna mahali kuna kina kirefu yan huwezi vukavita ya panzi furaha ya kunguru aha aha ahhhh
Ndio chanzo na usipoangalia itakula kwako we subiri tuinawezekana yakawa hayo ndio chanzo....?