sosoliso, Baba V, amu alafu na wewe mimisa.... Erickb52 ndio umeamua? Mrembo by nature siwezi....

sosoliso, Baba V, amu alafu na wewe mimisa.... Erickb52 ndio umeamua? Mrembo by nature siwezi....

hapana usihofu, mie nitakuletea almasi.. na sukari yenyewe... alafu vile anavyo kupa daddy utaendelea kuvipata

ombea usiwe BigG kwangu maana utalia, umuoni baba yako anavyokuna kichwa kila wakati... usifikiri anawashwa etii anachokipata anakijua mwenyewe
 
hapana.. mie siishi utamu bana, mie utamu mwanzo mwenga, usiwe na hofu... daddy mambo mengi

ombea usiwe BigG kwangu maana utalia, umuoni baba yako anavyokuna kichwa kila wakati... usifikiri anawashwa etii anachokipata anakijua mwenyewe
 
Naomba kujua hapa kuna nini mbona kama watu wako msibani?
 
mie hawa sio ndugu zangu...... ndugu yangu mwenyewe anafurahi mie kuachwa

oh! pole! au kile cheo ulichotaka kumnyang'anya yule mzee? isije sasa akawa ameamua kukusumbua....?
 
na ananisumbua kweli.. usiku nikilala nakuta michanga chumba chote yani kha!

pole bwana! kwani ulikuwa serious kuchukua cheo chake, au ulikuwa unamtania? maana vizee vingine haviwezi utani!!
 
Last edited by a moderator:
hapana.. mie siishi utamu bana, mie utamu mwanzo mwenga, usiwe na hofu... daddy mambo mengi

ngoja nije nikufanyie tathmini usije ukawa unategemea urithi wa baba yako wakati tayari upo mikononi mwangu
 
Umeuliza au umejunguka?
Na ndio maana nakuibia Paloma ila nishaacha siku hizi coz Chocs kanipiga mzungu wa nne wiki mbili sasaeti hadi niachane na vidumu hahahaaa atashangaaa kuona miujiza we mwache tu
Usintie presha pliiiiz
 
Umeuliza au umejunguka?
Na ndio maana nakuibia Paloma ila nishaacha siku hizi coz Chocs kanipiga mzungu wa nne wiki mbili sasaeti hadi niachane na vidumu hahahaaa atashangaaa kuona miujiza we mwache tu


weweeeeee ....hivi unakumbuka kilichompata manoah? endelea! sosoliso nae ni binadamu jamani ana moyo una nyama na damu! shaurilo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom