Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #21
Ndio chanzo na usipoangalia itakula kwako we subiri tu
Jitundikemmmh! majanga yameniandama
hiyo Range lover ya baba yako amenihonga mimi Ranger of love.
Jitundike
usi sahau kurudi na ile sized..
vita ya panzi furaha ya kunguru aha aha ahhhh
poa... maana ugomvi wandugu na jamaa inabidi uingie kwa akili!!
Karibu sana Mrembo by Nature
Hope ile nafasi tuliyokuwa tunaingoja ndio hii sasa...karibu uenjoy mahaba katika mwanga bora!
una manufaa na hii vita?
mbona tunatishiana sasa?
hivi unaweza ukapita kwenye njia iliyofungwa si mpaka iwe wazi?
Sasa usharobaro na mapenzi vinahusiana nini?
Kwamba sinaga undugu wala ukaribu na sharoz.....
mie, nipo nipo nafikiri nilikua naumwa.. ebu tumuulize daddy Bishanga
Naskia eti ulikuwa unaumwa kuachika? Hehehehe kibuti noma