sosoliso, Baba V, amu alafu na wewe mimisa.... Erickb52 ndio umeamua? Mrembo by nature siwezi....

huu mwaka una rangi gani?

kama hiyo na anampango wa kunijengea ghorofa sasa..! ndio maana kila siku anawalisha matembele,, ila usijali sitamchuna sana dady yenu akimaliza kunijengea tu namuwacha
 
watu8 mie sijauliza namba ya kiatu, nauliza namba ya ka phone!

Sasa hukuwa wazi...maana ulipouliza namba nikajua unataka ya kiatu ukichukulia ya kwamba huwa unafanya biashara ya umachinga wa viatu...
Btw najua jina lake tu aitwa Rehema Mtweve, namba ya simu siijui
 
Last edited by a moderator:
ooh! sasa ivi nipo ntwara kuhakikisha gesi yetu haitoki, nimeacha uchuuziii... kumbe ndio jina lake... ngoja nikamvute kwa babu..!

Hata mimi nipo Mtwara lakini kuhakikisha gesi inatoka...tutahakikisha tunawapa kibano ili gesi ya kwanza kutoka iwe ushuzi
 
ah ah ah! chezea wana wa ntwara hiyo gesi itakua maji .... tena hata maji tutakua tunawasaidia itakua upepo

Hata mimi nipo Mtwara lakini kuhakikisha gesi inatoka...tutahakikisha tunawapa kibano ili gesi ya kwanza kutoka iwe ushuzi
 
ulikua hujui?

Dogo umevurugwa sana eeh.... kila unachogusa kinakuwa cha moto, hadi gunia zenu za bange wame confiscate, m consult mwizi mwenzio Chimbuvu akupeleke kwa babu Bagamoyo ukasafishe nyota....
 
Last edited by a moderator:
unanitisha sasa? nitabadili maamuzi

Dogo umevurugwa sana eeh.... kila unachogusa kinakuwa cha moto, hadi gunia zenu za bange wame confiscate, m consult mwizi mwenzio Chimbuvu akupeleke kwa babu Bagamoyo ukasafishe nyota....
 
hapana usihofu, mie nitakuletea almasi.. na sukari yenyewe... alafu vile anavyo kupa daddy utaendelea kuvipata

we una ma stress yako ya kuachwa, utaniweza mie si nikikutuma sukari utaniletea chumvi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…