Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hapana usihofu, mie nitakuletea almasi.. na sukari yenyewe... alafu vile anavyo kupa daddy utaendelea kuvipata
ombea usiwe BigG kwangu maana utalia, umuoni baba yako anavyokuna kichwa kila wakati... usifikiri anawashwa etii anachokipata anakijua mwenyewe
mie hawa sio ndugu zangu...... ndugu yangu mwenyewe anafurahi mie kuachwa
oh! pole! au kile cheo ulichotaka kumnyang'anya yule mzee? isije sasa akawa ameamua kukusumbua....?
Naomba kujua hapa kuna nini mbona kama watu wako msibani?
na ananisumbua kweli.. usiku nikilala nakuta michanga chumba chote yani kha!
pole bwana! kwani ulikuwa serious kuchukua cheo chake, au ulikuwa unamtania? maana vizee vingine haviwezi utani!!
nambie nani mubaya manoah.....
- amu
- Baba V
- Paloma
- sosoliso
- Mrembo by Nature
- Mamndenyi
- Erickb52
- mimisa
Wazuri
- The secretary
- Bishanga
-
-
-
wazuri kidogo
- Zion Daughter
-
-
-
Kaizer nisaidie hao wabaya wawe wazuri...
hapana.. mie siishi utamu bana, mie utamu mwanzo mwenga, usiwe na hofu... daddy mambo mengi
ngoja nije nikufanyie tathmini usije ukawa unategemea urithi wa baba yako wakati tayari upo mikononi mwangu