Sospeter Bajana your future is bright, acha utovu wa nidhamu una kipaji kikubwa

Huyo nova Kama hajadanganya Umri atakuwa mchezaji wetu wa pili kucheza ligi za ulaya Kwa mafanikio,the boy is majestic namba sita Bora Tanzania baada ya Hussein Masha
Mkuu enzi za marsha walikuwepo wengi sana hiyo pamba ilikua na watu balaa..vizazi vile wengi walikua wanajua mpira
 
Huyo nova Kama hajadanganya Umri atakuwa mchezaji wetu wa pili kucheza ligi za ulaya Kwa mafanikio,the boy is majestic namba sita Bora Tanzania baada ya Hussein Masha
Yuko zulte ana ubonda mwingi
 
Wewe bhana ungenyoosha tu maelezo. Mwambie aache bange, acheze mpira.
 
Kura sikupi
 
Havuti bange mkuu
Basi inabidi awaone watu wa saikolojia haraka iwezekanavyo. Maana anaonekana kuwa na tatizo bila shaka, nje ya kipaji chake cha mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…