Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Kuelezea ni ngumu Ila wapo km nguva juu mtu chini SamakiInaweza kutokea kwa mavyakula yetu ya siku hizi, ila siamini zote kufanya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuelezea ni ngumu Ila wapo km nguva juu mtu chini SamakiInaweza kutokea kwa mavyakula yetu ya siku hizi, ila siamini zote kufanya kazi
Unaweza kutumia Lugha ya kawaida pengine nikaelewa.Kwa sababu muandishi ametumia google kutafsiri.
Nmekwambia wanakua juu tofauti na chiniKuna wanaozaliwa hivyo
Ila sijui utendaji kazi wake unakuaje
Wanawake wote wana jinsia mbili ndio maana nikakwambia kuelezea ni ngumu, soma tenamwanamke mwenye jinsia mbili na mwanamke mwenye jinsia moja
Aisee, kazi kweli ngoja nirudieWanawake wote wana jinsia mbili ndio maana nikakwambia kuelezea ni ngumu, soma tena
Una jinsia ngapi ?hapa nimetoka mweupeee
tatu mkuuUna jinsia ngapi ?
wapo mkuu ila inakuwa hivi haziwezi kufanya kazi zote kwa pamojaMtu mmoja anawezaje kuwa na jinsia mbili? Au huwa wanazitengeneza.
Hao wanawake wawili wote wana jinsia mbili kwahiyo wanasaidiana kuridhishana kwenye jinsia ya kiume, na huyo Fletcher (mwanaume anawaridhisha hao wanawake wote wawili)Kwahio hapo kuna mwaume Kamili huyo mwenye Kofia,mwanamke mwenye jinsia mbili na mwanamke mwenye jinsia moja?
Kwamba mwanaume kamili alikuwa na mahusiano na mwanamke wa jinsia mbili,kwa sababu mpenzi wake Huyo ana hitaji kutimiza haja ya jinsia ya kiume ndio nayeye akapata mpenzi(mwanamke kamili)ndio wakawa watatu?
Kama sijaelewa mnieleweshe.
Hawa wanawake kila mmoja (wote) wana jinsia mbiliKwahio hapo kuna mwaume Kamili huyo mwenye Kofia,mwanamke mwenye jinsia mbili na mwanamke mwenye jinsia moja?
Kwamba mwanaume kamili alikuwa na mahusiano na mwanamke wa jinsia mbili,kwa sababu mpenzi wake Huyo ana hitaji kutimiza haja ya jinsia ya kiume ndio nayeye akapata mpenzi(mwanamke kamili)ndio wakawa watatu?
Kama sijaelewa mnieleweshe.
Aisee,kumbe ndio hivyoHao wanawake wawili wote wana jinsia mbili kwahiyo wanasaidiana kuridhishana kwenye jinsia ya kiume, na huyo Fletcher (mwanaume anawaridhisha hao wanawake wote wawili)
Pole sana bibi kama hujaelewa hiyo mada yangui kumbe kizee wewe nilifikiri mzee niko peke yangu humu jamvini kumbe wapo wazee na wengine soma tena bibi utaelewa mada yangu nilicho andika.Huenda umri wangu sahihi ni miaka 82 badala ya hii 78 niliyonayo, haiwezekani mada fupi hivi nashindwa kuielewa pamoja na kuisoma mara 3
Kweli kuishi kwingi kuona mengi 🙌🤪
Wakongwe wa umri tupo wa kutosha humu Mkuu.Pole sana bibi kama hujaelewa hiyo mada yangui kumbe kizee wewe nilifikiri mzee niko peke yangu humu jamvini kumbe wapo wazee na wengine soma tena bibi utaelewa mada yangu nilicho andika.
Kwasababu huyo mwanamke mwenzie ni mpenzi wake,alomtafuta yeye,yaani,mwanamke kamili hakutafutwa na mwanaume,bali alitafutwa na huyo mwanamke na nusuNilichokua sijaelewa ni huyo mwanamke asie na mtoto anavyosema akitaka kupata mtoto lazima ashsuriane na mwanamke mwenziwe, inamaana huyo mwanamke mwenziwe anauwezo pia wa kumpa mtu mimba au vipi? Kama atabebeshwa mimba na mwanamme inakuwaje so be ruhusa kwa mwanamke wakati wore wanalala kitanda kimoja? Hayo mahusiano ni very complicated kwa kweli.