Soudy Brown analazimisha bifu na WCB lakini wapi

Jamaa toka atoke jela, amekuwa na mambo ya kimama sana sijui huko jela walimfanya nini!
 
Leo kipind chao walikuwa wanamhoj hamisa.... kweli nmeamin shilawadu inajengwa na mond... bila habari zinazomhusu mind kwa mwaka mmoja tu kipind kingeshakuwa chali.... sema kuchokonoachokonoa ishu za wcb ndo kunakiweka mjini kipind chao
 
Soudy ni Mtoto mdogo sana,haya mambo ya ufukunyakuzi anaiga tu.....Ajaribu kubadilika.
 
Aaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ broe naona na ww unanfanyia ufukunyuzi.... mi ckatai n team WCB ndakindaki.... na naongelea ukweli wa mambo ulivyo na sio propaganda fake km za soudy za kuponda kila kitu kiwe kibaya au kizuri.... afu we utakuwa mdau wa pale clouds... km sio mtangazaji bax mpiga sogo za vipindi vya clouds
 
Mbona wewe unasifia kila kitu.. una tofauti gani na Soudy anayeponda kila kitu?
 
Mbona wewe unasifia kila kitu.. una tofauti gani na Soudy anayeponda kila kitu?
Kama wanazingua mbona huwa nasema? Au umeanza kunifahamu kupitia hii avata nyingine???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…