mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Tangu Clouds waamue kumchunia Diamond miezi minne iliyopita ndio kwaanza Diamond anazidi kusumbua kila kukicha na scandal ndio zinaongezeka kila kukicha
Sasa hawa kaka zangu Soudy brown na Kwisa Mzee mkavu, WCB ndio kilikuwa kituo chao cha umbea, yaani bila Habari za Madale walikuwa hawaishi mjini, sasa tokea wawachunie WCB hali zao ni mbaya sana jomon, kipindi kimepoteza mvuto na account zao za instagram za umbea zimekosa habari sababu WCB ndio ilikuwa sehemu yao kuu ya kunyapia nyapia.
Sasa nawaona wanajuta kimya kimya na hili bifu naona kabisa akina Soudy na crew nzima ya clouds hawalipendi sema tu kila mtu analinda ugali wake[emoji23]
Nikiangalia ubuyu wa [HASHTAG]#IYENA[/HASHTAG] kutoka huko Madale namuona Soudy roho ikimuuma ndani kwa ndani lakini hana la kufanya atakimbilia wapi sasa[emoji23][emoji23]
Soudy please pataneni na Diamond la sivyo kipindi chenu kitakufa