Soudy brown na Shilawadu jishusheni kwa Diamond jamani mnatia huruma

Soudy brown na Shilawadu jishusheni kwa Diamond jamani mnatia huruma

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Tangu Clouds waamue kumchunia Diamond miezi minne iliyopita ndio kwaanza Diamond anazidi kusumbua kila kukicha na scandal ndio zinaongezeka kila kukicha

Sasa hawa kaka zangu Soudy brown na Kwisa Mzee mkavu, WCB ndio kilikuwa kituo chao cha umbea, yaani bila Habari za Madale walikuwa hawaishi mjini, sasa tokea wawachunie WCB hali zao ni mbaya sana jomon, kipindi kimepoteza mvuto na account zao za instagram za umbea zimekosa habari sababu WCB ndio ilikuwa sehemu yao kuu ya kunyapia nyapia.

Sasa nawaona wanajuta kimya kimya na hili bifu naona kabisa akina Soudy na crew nzima ya clouds hawalipendi sema tu kila mtu analinda ugali wake[emoji23]
Nikiangalia ubuyu wa [HASHTAG]#IYENA[/HASHTAG] kutoka huko Madale namuona Soudy roho ikimuuma ndani kwa ndani lakini hana la kufanya atakimbilia wapi sasa[emoji23][emoji23]

Soudy please pataneni na Diamond la sivyo kipindi chenu kitakufa
 
Wanamkosesha Jiwe uhondo.

Na Diamond anatengeneza hizi kiki makusudi kabisa.
 
Ruge ni jiniazi.... na wakina sudi ni mashetaniazi.... hahahahahahahahahahahahaaaaaa.... [HASHTAG]#Hapa[/HASHTAG] labda Mastermind ni Kusaga tu... ila hakuna jiniazi kati yao....
 
Naona hizi threads zimeongezeka Sana na maudhui Ni yaleyale kwamba CMG ndiyo losers.

Kama bifu lina miezi minne mbona kelele nyingi hivi baada ya kuachia ngoma ilhali nyinyi hamjathirika bali Clouds?

Kwa nini msi-move on maanake inatoa taswira kwamba Kuna kitu kina wakereketa bado pamoja na kuwa mme-win.
 
Soud mzee baba naona umekuja kutoa ya moyoni huku....Ruge kakusikia atalifanyia kazi
 
Jamaa walizoea vya kunyonga!sasa watakimbizwa na mtoto wa tandale balaa.walinyanyasa sana watoto wa watu kuwabania nyimbo zao.sasa wanapotezwa.
ITAUNGUZWA MOTO KISHA MAJIVU YAKE YATAPEPERUSHWA ANGANI.
 
Mim nashindwa kuelewa. Kwani Wasafi tv ni ya nani? kama inaendeshwa kwa share nani mwenye share nyingi?

Wasafi tv wanasema ni ya Kusanga, kama ni ya Kusanga mwenye hisa nyingi bifu lao na clouds linamaana gani sasa wakati Kusanga ndiyo mmiliki wa clouds fm/tv?

aaaarrgg.. Upuuzi huu
 
Tangu Clouds waamue kumchunia Diamond miezi minne iliyopita ndio kwaanza Diamond anazidi kusumbua kila kukicha na scandal ndio zinaongezeka kila kukicha

Sasa hawa kaka zangu Soudy brown na Kwisa Mzee mkavu, WCB ndio kilikuwa kituo chao cha umbea, yaani bila Habari za Madale walikuwa hawaishi mjini, sasa tokea wawachunie WCB hali zao ni mbaya sana jomon, kipindi kimepoteza mvuto na account zao za instagram za umbea zimekosa habari sababu WCB ndio ilikuwa sehem yao kuu ya kunyapia nyapia.

Sasa nawaona wanajuta kimya kimya na hili bifu naona kabisa akina Soudy na crew nzima ya clouds hawalipendi sema tu kila mtu analinda ugali wake[emoji23]
Nikiangalia ubuyu wa [HASHTAG]#IYENA[/HASHTAG] kutoka huko Madale namuona Soudy roho ikimuuma ndani kwa ndani lakini hana la kufanya atakimbilia wapi sasa[emoji23][emoji23]

Soudy please pataneni na Diamond la sivyo kipindi chenu kitakufa
Diamond aliwakosea nn hao clouds mpaka wakamchunia mkuu?
 
Mim nashindwa kuelewa. Kwani Wasafi tv ni ya nani? kama inaendeshwa kwa share nani mwenye share nyingi?

Wasafi tv wanasema ni ya Kusanga, kama ni ya Kusanga mwenye hisa nyingi bifu lao na clouds linamaana gani sasa wakati Kusanga ndiyo mmiliki wa clouds fm/tv?

aaaarrgg.. Upuuzi huu
hebu msikilizeni huyu...mkuu km huelewi kitu kaa kimya tu kusanga ndio nani sasa
 
Back
Top Bottom