Haya bhanaWapo wengi tu hawamjui Ruge.
Pia wapo wengi tu hawamjui Zamaradi Mketema.
Na vile vile anaweza kweli akawa anajulikana na wengi lakini akawa hana mvuto wa kufatiliwa habari zake.
Mfano Juma Nature anajulikana sana lakini mvuto wa kufatilia anachokifanya hana.
Anaweza akaachia ngoma lakini watu wasijiangaishe kuitafuta lakini muda huo huo mtu kama Diamond akiachia wimbo ndani ya masaa mawili tu views wanafika 100K+.
[emoji106]Haya bhana
Wakiume Juh juh na wakike Shubyboss hujui hilo mpka leo alikuwa na watoto tena wa 2 wa boss ruge mtahaba
We nawe cjui unatetea nin? Nan hamjui ruge au zamarad au wew mkuu? Bila shaka una ndio umenunua tv. Maan Unachotetea hata cjuiiiiiiii. Wale akin Sudie ni vibaraka tyuuuWapo wengi tu hawamjui Ruge.
Pia wapo wengi tu hawamjui Zamaradi Mketema.
Na vile vile anaweza kweli akawa anajulikana na wengi lakini akawa hana mvuto wa kufatiliwa habari zake.
Mfano Juma Nature anajulikana sana lakini mvuto wa kufatilia anachokifanya hana.
Anaweza akaachia ngoma lakini watu wasijiangaishe kuitafuta lakini muda huo huo mtu kama Diamond akiachia wimbo ndani ya masaa mawili tu views wanafika 100K+.
Malizia kila sikuVizuri, ajiandae kulala bila chupi sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]habari lazima i balance... hahahhah
Wala hapendi promo dada Wa watu anajielewa sana embu muache kabisa.kama c movie ni kipindi kipya uyu anavyopenda promo