Haya bhanaWapo wengi tu hawamjui Ruge.
Pia wapo wengi tu hawamjui Zamaradi Mketema.
Na vile vile anaweza kweli akawa anajulikana na wengi lakini akawa hana mvuto wa kufatiliwa habari zake.
Mfano Juma Nature anajulikana sana lakini mvuto wa kufatilia anachokifanya hana.
Anaweza akaachia ngoma lakini watu wasijiangaishe kuitafuta lakini muda huo huo mtu kama Diamond akiachia wimbo ndani ya masaa mawili tu views wanafika 100K+.