Soudy Brown na Shilawadu mmeshindwa kunyapia harusi ya Zamaradi? Kweli hakunaga Uhuru wa habari

Mkuu huyu mbona fomous sana na vip ruge kuna asie mjua???
Tatizo unachukua sample kwa vijana wa rika lako na wanaokuzunguuka..kuna mwingine anaweza akashangaa kama humjui mheshimiwa Magembe ama Kigwangala ama humjui Jimmy Mwenda Bosco ama humjui Juma Kaseja (Tanzania ina watu wengi wenye interest tofauti na ndio maana usishangae mtu akawa hawajui hao wote na kama anawajua basi ni kwa kiwango cha kusikia majina tu ukileta picha achague hawajui)
 
Hance Mtanashati sijapenda ulivomfananisha Nature na uyo jamaa....usimfananishe Nature na watoto wadogo
 
Attachments

  • 14693956_1981004962126529_5821555709887643648_n.jpg
    23.8 KB · Views: 69
Reactions: SDG
Wakati zamaradi anaona kuendelea kuzaa na mtu ambae hana mpango wa kuoa japo ana mipesa ni uzwazwa........
Hamissa mobetto yeye anaona ni bora azalishwe tu ili mradi anapewa visenti na baba wa mtoto .....
Kweli akili ni nywele kila mtu na zake
 
umezungumza lini na hamisa akakwambia hivyo?.....
story ya hamisa wengi hatujui tumesikia upande wa mond tu, hatujasikia upande wa hamisi....
msema peke mshindi.... siku hamisa akiongea ndio tutaweza kubalance story.
 
Wakati zamaradi anaona kuendelea kuzaa na mtu ambae hana mpango wa kuoa japo ana mipesa ni uzwazwa........
Hamissa mobetto yeye anaona ni bora azalishwe tu ili mradi anapewa visenti na baba wa mtoto .....
Kweli akili ni nywele kila mtu na zake
Ndo uone maajabu.
 
Hahahahaha hawawez kureport hyo habar hata kidogo
 
Hivi kulikuwa na future ya ndoa btn them?
 
Hivi kulikuwa na future ya ndoa btn them?
Kama ameamua kufanya hivi ni wazi Ruge hakuwa tayari labda alikuwa anamwambia bado. Akamzalisha na wa pili akaona hakuna dalili akamua kumove on.
 
Nahisi nina pepo kama la Ruge. Nina hakika wito wa ndoa sina kabisaaa.
 
Kama ameamua kufanya hivi ni wazi Ruge hakuwa tayari labda alikuwa anamwambia bado. Akamzalisha na wa pili akaona hakuna dalili akamua kumove on.
Zama Muislam,Ruge si Muislam.
Ndoa ingetokea wapi hapo kwa mfano?
 
Zama Muislam,Ruge si Muislam.
Ndoa ingetokea wapi hapo kwa mfano?
Hiyo inaweza ikawa moja ya sababu japo si yenye nguvu sana maana wako wengi waliobadili dini na wakafunga ndoa.Labda hakuwa tayari kabisa na Zama kachoka kusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…