Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Tatizo unachukua sample kwa vijana wa rika lako na wanaokuzunguuka..kuna mwingine anaweza akashangaa kama humjui mheshimiwa Magembe ama Kigwangala ama humjui Jimmy Mwenda Bosco ama humjui Juma Kaseja (Tanzania ina watu wengi wenye interest tofauti na ndio maana usishangae mtu akawa hawajui hao wote na kama anawajua basi ni kwa kiwango cha kusikia majina tu ukileta picha achague hawajui)Mkuu huyu mbona fomous sana na vip ruge kuna asie mjua???